DAKAR, Senegal

Infographics

Viongozi upinzani Senegal wapinga uchaguzi kuahirishwa

VIONGOZI wa upinzani nchini Senegal wameungana kupinga kuahirishwa kwa uchaguzi wa rais, mmoja wa wagombea, Anta Babacar, amesema. Takriban wagombea…

Soma Zaidi »
Africa

Malawi waondoa visa kwa nchi 79 duniani

MALAWI imeondoa vikwazo vya viza kwa wasafiri kutoka mataifa 79 katika juhudi za kukuza utalii na biashara nchini humo. Waziri…

Soma Zaidi »
Afya

Madaktari wafutiwa leseni ukiukaji maadili

BARAZA la Madaktari Tanganyika (MCT) limewafungia leseni madaktari 16 na kufutia leseni watoa huduma wanne kwa kipindi cha mwaka 2023…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba yazidiwa pointi saba na Yanga

BAADA ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC, Simba sasa imeachwa pointi saba dhidi ya Yanga anayeongoza msimamo…

Soma Zaidi »
Afya

TIRA, NHIF wawafunda wabunge kuhusu bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Wizara ya Afya na Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wametoa Semina kwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Tamasha Sauti za Busara kufunguliwa leo Zanzibar

TAMASHA la Sauti za Busara 2024 linatarajiwa kufunguliwa leo usiku visiwani Zanzibar na kuhitimishwa Februari 11 huku zaidi ya wasanii…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mtambo wa megawati 20 kuzalisha umeme Mtwara, Lindi

MIKOA ya Mtwara na Lindi imepokea mtambo mkubwa na kuzalisha umeme wa megawati 20 unaotarajiwa kuanza kazi kufanya kazi Machi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Makonda awavaa wafanyabiashara wanaoipenda CCM kwa kubipu

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amewashukia baadhi ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Fifa kuleta kadi ya bluu

IMERIPOTIWA Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) lipo katika mchakato wa majadiliano na waamuzi ya kuanzisha sheria ya uwepo…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Intaneti kuboreshwa UDSM

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), kimesaini mkataba wa kihistoria wa marejeo na Kampuni ya Seacom kwa ajili…

Soma Zaidi »
Back to top button