PENINSULA, Japan

Kimataifa

Watu 30 wafa kwa tetemeko Japan

WATU 30 wameripotiwa kufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga pwani ya katikati mwa Japan siku ya mwaka mpya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mwakinyo, Mzimbabwe kupasuana Zanzibar

DAR ES SALAAM: BONDIA, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ anatarajiwa kupigana na bondia kutoka Zimbabwe, Enock Msambudzi Januari 27 mwaka huu visiwani…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wawili wanaswa mauaji ya Kiplagat

POLISI nchini Kenya wamewakamata watu wawili waohusishwa na mauaji ya mwanariadha wa Uganda Benjamin Kiplagat. Wanaume hao wawili wanaoaminika kuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mtwara Mjini wasifu utendaji wa serikali

WANANCHI wa Jimbo la Mtwara Mjini wameipongeza serikali kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika jimbo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari…

Soma Zaidi »
Afya

Wanafunzi Sudan kuhamishiwa hospitali ya Temeke

WANAFUNZI 20 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini sudan wanatarajia kuhamishiwa Hospitali…

Soma Zaidi »
Utalii

Mtwara yajidhatiti kutangaza utalii

SERIKALI ya Mkoa wa Mtwara imeendelea kutangaza utalii na uwekezaji kwa kuonesha vitu mbalimbali vya kitalii vilivyopo ndani ya mkoa…

Soma Zaidi »
Infographics

Okrah rasmi Yanga

WINGA wa zamani wa Simba SC, Augustine Okrah ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Yanga. Nyota huyo mwenye uwezo wa kucheza…

Soma Zaidi »
Jamii

Wamiliki vituo vya kulea watoto mchana watakiwa kufuata miongozo

VITUO vya kulea watoto mchana ‘daycare center’ vinashindwa kujipambanua vyema ili kuendana na matakwa ya sheria,sera na muongozo dhidi ya…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy aagiza huduma tiba kemia hospitali za rufaa za mikoa

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ameziagiza hospitali zote za mikoa za Rufaa kuhakikisha zinatoa tiba kemia lengo ni kuwapunguzia wagonjwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakamatwa kwa kuendesha kiwanda bubu cha pombe

POLISI mkoani Morogoro inawashilia watu wanne kwa tuhuma za kuendesha kiwanda Bubu cha kutengeneza na kusambaza bidhaa bandia ya pombe…

Soma Zaidi »
Back to top button