Nigeria

Africa

Wakulima 15 Nigeria wauawa

WAKULIMA 15 wa zao la mpunga wameuawa na wengine kutekwa nyara katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, inadhaniwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TLS kumtetea mjane wa nyama ya swala

CHAMA cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kanda ya Iringa wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba waachana na Robertinho

BREAKING: Simba SC imeachana na kocha Robert Oliveira ‘Robertinho’ baada ya makubaliano ya pande zote mbili kwa maana ya klabu…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

We proceed with our topic The Impersonal and the reciprocal forms of verbs Useful Expressions Kuna nini?       …

Soma Zaidi »
Kimataifa

Zaidi ya watu 10,000 wauawa Gaza tangu kuanza vita

ZAIDI ya watu 10,000 wameuawa huko Gaza tangu kuanza kwa vita kati ya Israel na Palestina mwezi mmoja uliopita, Wizara…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tabora United yafungiwa usajili

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulimwenguni (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji wa zamani wa timu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Johari: Wasanii wadogo kazeni buti

MWIGIZAJI wa filamu, Blandina Chagula, ‘Johari’ amewataka wasanii wachanga kujituma kutimiza ndoto zao. Akizungumza na HabariLeo jijini Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »
Africa

Wanajeshi 60, maafisa magereza wafutwa kazi Guinea

GUINEA imewafuta kazi zaidi ya wanajeshi 60 na maofisa magereza baada ya kiongozi wa zamani wa kijeshi Moussa Dadis Camara…

Soma Zaidi »
Africa

Watu 14 wafa, maelfu wamekwama mafuriko Somalia

WATU 14 wamekufa na zaidi ya 47,000 kukwama kwenye matope na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika jimbo la Jubbaland…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Makombora yaua watu 20 soko Sudan

ZAIDI ya watu 20 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya makombora kurushwa katika soko la Omdurman kitongoji cha mji…

Soma Zaidi »
Back to top button