#BREAKING: Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023…
Soma Zaidi »Na Rahimu Fadhili
Nyota wa mpira wa kikapu wa Milwaukee Bucks , Giannis Antetokounmpo kwa mara ya kwanza amefunga pointi 55 za juu…
Soma Zaidi »Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumika timu hiyo, mkataba huo utamalizika mwaka 2025.…
Soma Zaidi »Habari za wakati huu mdau wa michezo, popote pale unapotufuatilia kupitia mitandao yetu, ikiwa ni Januari 2, 2023 karibu sana…
Soma Zaidi »MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe. Scolastika Kevela, amempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa…
Soma Zaidi »Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili…
Soma Zaidi »CHAMA Cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa zuio la kufanyika kwa mikutano…
Soma Zaidi »Klabu ya Simba imemtangaza Roberto Oliveira kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Zoran Maki aliyetimuliwa miezi kadhaa…
Soma Zaidi »Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imedhamiria kukwamua mchakato wa marekebisho ya Katiba kwa namna watakavyokubaliana na…
Soma Zaidi »WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ameipongeza Benki ya Mwanga Hakika (MHB) kwa kuendelea kutanua mtandao wake ambao hadi sasa…
Soma Zaidi »









