BRIGHTON, England

Michezo na Burudani

Fati kukiwasha Brighton

MSHAMBULIAJI wa FC Barcelona, Ansu Fati anakaribia kujiunga na Brighton & Hove Albion kwa mkopo wa msimu mmoja. – Imeelezwa…

Soma Zaidi »
Infographics

NAOT yaridhishwa na utendaji MWAUWASA

TIMU ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (NAOT) imeridhishwa na utaalamu wa uondoshaji na jinsi ya kutibu…

Soma Zaidi »
Jamii

Huduma za kijamii kuwasogeza wamasai Tanga

BAADHI ya wànanchi wa jamii ya kifugaji ya Kimasai wakazi wa vijiji viwili vya Irkeepusi na Orchaniomeok vilivyoko katika kata…

Soma Zaidi »
Biashara

Wanawake Pwani wanavyonufaika na kilimo cha nazi

WAKINAMAMA mbalimbali kutoka Mkoa wa Pwani wamekuwa wakinufaika na kilimo cha nazi baada ya wawekezaji wengi kuwekeza katika bidhaa hiyo na kufanya kilimo hicho kupanda thamani. Akizungumza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aliyekuwa mkurugenzi jela miaka 20 uhujumu uchumi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Robo fainali Angeline Jimbo Cup kupigwa Septemba 4

MASHINDANO ya Angeline Jimbo cup yanatarajiwa kuendelea Septemba 4, 2023 kwa mchezo mmoja wa robo fainali utakaozikutanisha timu za kata…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mchungaji mbaroni tukio la ushirikina

MCHUNGAJI kiongozi wa Kanisa la Pentekoste Gospel Mission, Emanuel Karata (35) na mwenzake mmoja anayefahamika kwa jina la Basenga Matheo…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Serikali yajiimarisha intaneti maeneo ya umma

KATIKA kuhakikisha huduma za mawasiliano zinasambaa nchini, serikali inakusudia kuimarisha huduma za hizo kwa kuweka mtandao wa Intaneti bure (WIFI)…

Soma Zaidi »
Infographics

Ndizi ‘Moshi’ zaadimika sokoni

NDIZI aina ya mshale, malindi na mnyenyele zinazotoka mkoani Kilimanjaro zimeadimika mkoani Dar es Salaam. Mfanyabiashara wa siku nyingi katika…

Soma Zaidi »
Infographics

Taasisi ya Mandela yatakiwa kupaa

TAASISI ya  Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) inatakiwa kupaa zaidi katika anga za juu kwenye tafiti na teknolojia…

Soma Zaidi »
Back to top button