Sylvester Domasa

Tanzania

Dk Tulia aomba kuboreshwa miundombinu Mbeya

SPIKA wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson ameiomba serikali kupitia Rais, Dk…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mafuriko yaua 33 Beijing

IDADI ya watu waliofariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa China, Beijing imeongezeka na kufikia 33 wakiwemo waokoaji watano…

Soma Zaidi »
Uchumi

Sheria kurekebishwa kuongeza viwango bandari

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada…

Soma Zaidi »
Africa

Bosi Safaricom ajiuzulu

KENYA, Nairobi: Aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mwanzilishi na baadaye Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom PLC,…

Soma Zaidi »
Africa

Benki ya Dunia yasitisha ufadhili Uganda kisa sheria ya kupinga ushoga

UGANDA, Kampala: Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wowote mpya kwa miradi nchini Uganda, ikitaja ukiukwaji wa haki za binadamu kutokana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima Kusini waeleza walivyojifunza Nanenane

WAKULIMA Kanda ya Kusini katika mikoa ya Lindi, Ruvuma na Mtwara wameeleza namna wanavyonufaika na Maonesho ya Nane nane yaliyofanyika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wasiokuwa na maadili kutengwa uchaguzi Pwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani kimewaonya wanachama wake wanaotarajia kugombea nafasi za wenyeviti wa vijiji na vitongoji katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tari ilivyodhibiti mateso ya tembo wa mkonge kwa wakulima

“KUNA mdudu Tembo wa Mkonge huyu anatusumbua sana wakulima wa mkonge. Tunapuliza dawa lakini wanasumbua sana hivyo tunapambana.” Mkulima wa…

Soma Zaidi »
Uchumi

Serikali yajizatiti utafiti, umwagiliaji kuinua kilimo

NANENANE ni Sikukuu ya Wakulima nchini. Inahusisha pia sekta ya ufugaji na uvuvi ikiwa na hadhi ya Maonesho ya Kimataifa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nkunku nje miezi mitatu

BREAKING: Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Christopher Nkunku atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu na nusu kufuatiwa kufanyiwa usapuaji wa…

Soma Zaidi »
Back to top button