Afya

Serikali yatangaza mkakati kumaliza fistula

SERIKALI imetangaza azma ya kutekeleza kwa vitendo mpango wa kuondoa tatizo la ugonjwa wa fistula kwa wanawake wakati wa kujifungua.…

Soma Zaidi »

Serikali yacharuka upotevu wa dawa

NAIBU Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema serikali itachukua hatua kali kwa wote wataobainika kwenye upotevu wa dawa ili…

Soma Zaidi »

‘Mazingira rafiki huduma za afya yatavutia vijana’

HUDUMA ya afya ya uzazi itawafikia vijana wengi endapo mazingira rafiki kwao yataimarishwa, kwenye zahanati na vituo vya afya. Hayo…

Soma Zaidi »

Watetezi wa uhai Afrika kujadili mimba za maabara

VIONGOZI wa mashirika ya kutetea uhai wanaoshirikiana na shirika la kimataifa la kutetea uhai Human Life International (HLI) katika Ukanda…

Soma Zaidi »

640 waacha dawa za kulevya, waanza tiba ya methadoni

JUMLA ya watu waliokuwa wakitumia dawa za kulevya na kuacha 640 wamesajiliwa na kupata huduma ya ushauri nasaha na tiba…

Soma Zaidi »

Wiki moja yaokoa maisha watoto 427 JKCI

WATOTOT 427 wenye matatizo ya matundu kwenye moyo, matatizo ya mishipa ya damu na Valve za moyo wamefanyiwa uchunguzi katika…

Soma Zaidi »

‘Pelekeni watoto haraka kutibiwa saratani ya macho’

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya macho Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Annamary Stanslaus amesema ili kupunguza vifo vitokanavyo na…

Soma Zaidi »

Asilimia 7 ya Watanzania wanaugua figo

ASILIMIA saba ya Watanzania wanaishi na ugonjwa wa figo, Bunge limeelezwa jijini Dodoma leo asubuhi. Naibu Waziri wa Afya Dk…

Soma Zaidi »

Ugonjwa wa shinikizwa la damu waongezeka kwa 95%

UGONJWA wa shinikizo la juu la damu umeongezeka kutoka wagonjwa 688,901 kwa mwaka 2017 hadi kufikia wagonjwa 1,345,847 kwa mwaka…

Soma Zaidi »

Serikali yachukua hatua ‘mauaji ya vichanga’ kaliua

SERIKALI imewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa afya katika Kituo cha Afya cha Kaliua na kumuagiza Mganga Mkuu wa Mkoa…

Soma Zaidi »
Back to top button