Afya

Asilimia 96 Waviu wamefubaza makali

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema asilimia 94. 4 ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (Waviu) wanatambua hali zao…

Soma Zaidi »

Watakiwa kufuata taratibu usajili wa dawa

WADAU wa dawa nchini wametakiwa kufuata sheria na taratibu, ili kukamilisha usajili kwa haraka na kuepuka malalamiko ya kuchelewa kwa…

Soma Zaidi »

‘Dawa hizi zinatolewa bure’

SERIKALI imesema dawa myeyuko za Amoxicillin, Zinki na ORS kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano zinatolewa…

Soma Zaidi »

Ummy: Magonjwa ya ngono yameongezeka

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema magonjwa ya ngono yameongezeka nchini na kuitaka jamii hususani vijana kutumia kinga Ummy, ameyasema…

Soma Zaidi »

Imani, mila zatajwa vifo vya wanawake, watoto

IMANI, mila na desturi za kitamaduni, ukosefu wa usawa wa kijinsia ni miongoni mwa sababu zinazorudisha nyuma udhibiti wa magonjwa…

Soma Zaidi »

Atoa maagizo ujenzi Hospitali Pangani

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba ametoa siku saba kuanza kwa ukarabati wa majengo katika Hospitali ya Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Daktari aeleza alivyoandika kitabu

DAKTARI wa magonjwa ya binadamu, Grace Mapunda amesema aliandika kitabu cha Sonona Kazini baada ya watu kufikiri madaktari hawaathiriki na…

Soma Zaidi »

Watoa huduma wanaopuuza kadi bima ya afya waonywa

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amewaonya watoa huduma za afya wanaopuuzia bima za afya kuacha tabia hiyo, kwani…

Soma Zaidi »

Tamisemi yakanusha Dugange kujiuzulu

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imekanusha taarifa ya kujiuzulu kwa Naibu Waziri wa wizara hiyo…

Soma Zaidi »

Mwitikio chanjo ya Uviko 19 waongezeka Mpanda

IDADI ya watu wanaojitokeza kupata chanjo kwenye vituo mbalimbali vinanyotoa huduma za chanjo ya Uviko 19 imeongezeka kutokana na hamasa…

Soma Zaidi »
Back to top button