Afya

Asilimia 70 wanaoambukizwa VVU watajwa wasichana

TAKRIBANI asilimia 70 ya kundi la vijana kati ya miaka 15-24 wanaopata maambuziki ya mapya ya VVU ni wasichana. Taarifa…

Soma Zaidi »

Pele awahishwa hospitali uvimbe wamtesa

Gwiji wa soka wa Brazil, Edson Arantes ‘Pelé’ ambaye anayedhaniwa kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi wakati wote, amelazwa katika…

Soma Zaidi »

Agha Khan, Muhimbili wafanya operesheni 23 kuboresha maumbile

HOSPITALI ya Aga Khan, kwa kushirikiana na shirika la Kimataifa la Reconstruction Woman International (RWI) na Hospital ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

Waishio na VVU wataka usawa huduma muhimu

BARAZA la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) linahitaji kuimarisha usawa katika upatikanaji wa huduma muhimu wakati huu…

Soma Zaidi »

Madaktari: Mabadiliko tabianchi yanaongeza magonjwa

MADAKTARI na watalaamu wa mazingira wamesema mabadiliko ya tabianchi yamekuwa yakichangia ongezeko la magonjwa ya moyo na saratani. Wataalamu hao…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Msivunjike moyo, chapeni kazi

MADAKTARI wa Wauguzi wametakiwa kutovunjika moyo na badala yake wachape kazi kwa kuhudumia vema wagonjwa licha ya changamoto walizonazo. Hayo…

Soma Zaidi »

Taasisi ya Kuwait yaiahidi makubwa JKCI

TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imesema Shirika la Children’s Heart Charity Association la Kuwait limeahidi kuboresha tiba za kibingwa…

Soma Zaidi »

Serikali yatahadharisha mtumizi holela ya antibiotiki

SERIKALI imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea…

Soma Zaidi »

Asilimia 76 ya watanzania hawapigi mswaki

ASILIMIA 76.5 ya Watu wazima Tanzania wameoza meno kutokana na kutopiga mswaki. Akizungumza na HabariLeo leo Novemba 22, 2022, Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Ulaji usiofaa, vilevi chanzo upungufu nguvu za kiume

PWEZA ni moja ya samaki wanaopatikana baharini lakini pia mwenye uwezo wa kuishi nchi kavu ambaye amepata umaarufu mitaani kutokana…

Soma Zaidi »
Back to top button