Afya

Hospitali ya Nanguruwe yakabidhiwa vifaa vya Sh milioni 5

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mtwara imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika Hospitali ya Wilaya ya  Mtwara Vijijini ya…

Soma Zaidi »

Wanaume kapimeni VVU acheni kuwategea wake zenu-Majaliwa

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wanaume kujitokeza kwenda kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ili kuzijua hali…

Soma Zaidi »

Wananchi wachekelea kilichofanywa na TRA katika Zahanati

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya mapato Tanzania Mkoa wa Kodi Temeke imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi…

Soma Zaidi »

Karume: Wahitimu Muhas kaitumikieni jamii

RAIS wa zamani wa Zanzibar, Aman Abeid Karume amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS )…

Soma Zaidi »

Waviu Kibaha kufunga ndoa 2024

WENZA, Vaileth Kawovela na Evodius na Gozbelt wakazi wa Kibaha, mkoani Pwani wanaoishi na Virusi vya Ukimwi  wanaonufaika na huduma…

Soma Zaidi »

Mbogwe waadhimisha siku ya ukimwi duniani

HALMASHAURI ya Wilaya ya Mbogwe imeadhimisha siku ya Ukimwi duniani ambapo watu 101 wamejitokeza kupima ugonjwa huo. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Wananchi Misusugu wasogezewa huduma mama na mtoto

WANANCHI wa kata ya Misusugu wilayani Kibaha mkoani Pwani wanatarajiwa kuondokana na tatizo la kutembea umbali mrefu kutafuta huduma ya…

Soma Zaidi »

Ajifungua mapacha wanne wa kiume

MWANAMKE mmoja Janeth Manota(27) mkazi wa Kwamorombo jijini Arusha amejifungua mapacha wanne wakiume katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru…

Soma Zaidi »

Wenza isiwe kikwazo kupata huduma – Waziri Ummy

TANGA; Muheza. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wauguzi wa afya kuwataka wajawazito kwenda na wenzao wao kliniki kwa…

Soma Zaidi »

Wenye VVU wanaweza kuwa na afya, furaha

UJUMBE uliotolewa na zaidi ya wanawake watano wa mjini Iringa wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa zaidi…

Soma Zaidi »
Back to top button