Fedha

Samia atoa maelekezo TTCL, NDC

RAIS Samia Suluhu amelitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), liachane na biashara ya simu, huku akilitaka Shirika la Maendeleo la…

Soma Zaidi »

Samia atoa maagizo mifumo TRA, bandari

RAIS Samia Suluhu Hassan amekerwa kwa mifumo ya bandari na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutosomana. Akizungumza leo Machi 29,…

Soma Zaidi »

Samia akerwa ongezeko fedha kununulia ndege

RAIS Samia Suluhu Hassan amekasirishwa na ongezeko la fedha za kununulia ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania kinyume na…

Soma Zaidi »

Hakuna nyaraka sahihi malipo Sh Bil 1.95 Tanapa

MAMLAKA ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA),  imefanya malipo mbalimbali yenye thamani ya Sh bilioni 1. 95 kupitia hati za malipo…

Soma Zaidi »

Mashirika 7 yasaini mikataba kinyume cha sheria

MASHIRIKA saba ya umma yamesaini mikataba ya Sh bilioni 45. 71 na Dola milioni 7.75 bila kupekuliwa na Mwanasheria Mkuu…

Soma Zaidi »

CAG abaini hasara mashirika 14

MASHIRIKA 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali…

Soma Zaidi »

ATCL yapata hasara Sh Bil. 35

KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL), imepata hasara ya Sh bilioni 35. 23 katika mwaka wa fedha 2021/22. Ripoti ya Mdhibiti…

Soma Zaidi »

Deni la serikali lafikia Sh tril.71

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema mpaka kufikia Juni 30, 2022 deni la serikali…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi apongezwa nia kubinafsisha mashirika

WADAU wa sekta binafsi na wachumi wamesema Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ana lengo sahihi kutaka kuyakabidhi mashirika ya…

Soma Zaidi »

Kamati yamaliza utata kilo nne za tanzanite

KAMATI ya wataalamu wa ramani mgodini kutoka Chuo cha Madini Dodoma imetoa ripoti kwamba madini kilo nne yalichimbwa mita 650…

Soma Zaidi »
Back to top button