Fedha

Wajivunia kutoa kipaumbele kwa Watanzania

KAMPUNI  ya Dough Works, imesema inajivunia kutekeleza kwa vitendo kauli ya serikali kuhusu kutoa kipaumbele kwa Watanzania katika masuala mbalimbali…

Soma Zaidi »

TPA kuimarisha ufanisi bandari zote

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Plasduce Mbossa amesema mamlaka hiyo inaendelea kufanya juhudi  kuimarisha ufanisi…

Soma Zaidi »

Rais Samia ahadharisha vijana utajiri wa haraka

 RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana wawe na fikra za mageuzi ya kiuchumi kwa kubuni na kuanzisha miradi badala ya…

Soma Zaidi »

‘Marufuku kupandisha bei vocha za simu’

BARAZA la Ushauri la watumiaji wa huduma za Mawasiliano (TCRA CCC), limepiga marufuku upandaji bei ya vocha za simu  kiholela…

Soma Zaidi »

Dar wakusanya kodi Sh trilioni 10.5 miezi sita

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema Mkoa huo umevunja rekodi ya kulipa kodi kwa kipindi cha…

Soma Zaidi »

Nape: Wananchi wakopeshwe simu kukuza uchumi

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezitaka kampuni za simu za mkononi nchini kuwa na utaratibu…

Soma Zaidi »

Nape: Tumieni Tehama kujiingizia kipato

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka vijana kuitumia teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) kujiingizia…

Soma Zaidi »

Tutuba Gavana mpya BOT

RAIS  Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba  kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Awali Tutuba alikua Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »

Wakulima Kagera walia na mwekezaji kiwanda cha chai

Soma Zaidi »

Wajadili changamoto na huduma kwa wafanyabiashara

WAKUU wa taasisi mbalimbali za serikali nchini pamoja na za  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo Januari 6, 2023 wamekutana…

Soma Zaidi »
Back to top button