Fedha

Uboreshaji Bandari Tanga kukamilika 2023

UTEKELEZAJI wa mradi wa kuboresha Bandari ya Tanga unatarajia kukamilika Aprili mwaka 2023. Meneja wa bandari hiyo, Masoud Mrisha amesema…

Soma Zaidi »

Mizani ya kidigitali suluhisho ununuzi wa pamba

TUME ya Maendeleo ya Ushirika Nchini (TCDC), imeazimia kuanza kutumia mizani ya kidigitali katika ununuzi wa zao la pamba, ili…

Soma Zaidi »

Kalonzo, Ngole wataka sarafu EAC iharakishwe

MAKAMU wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka amesisitiza umuhimu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kurejesha haraka matumizi…

Soma Zaidi »

Biashara ya nguo yadorora kuelekea sikukuu

ZIKIWA zimebaki siku nne kuadhimishwa kwa sikukuu ya Krismasi, wafanyabiashara wa nguo mkoani Dar es Salaam wamesema biashara ya bidhaa…

Soma Zaidi »

Ujenzi reli ya Tabora-Kigoma waiva

KIPANDE cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.…

Soma Zaidi »

‘Tumieni lugha rahisi kueleza umuhimu wa bima’

Katibu Mkuu Utumishi Dk Laurean  Ndumbaro, amewataka watumishi wa bima nchini kuhakikisha wanatoa elimu kwa lugha rahisi, ili kuwasaidia wananchi…

Soma Zaidi »

Wadau wa usafiri wapinga viwango vya nauli za SGR

WADAU wa masuala ya usafiri nchini wamepinga viwango vya nauli za abiria zilizopendekezwa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa kauli ongezeko bei za vyakula

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hakuna maeneo yatakayokosa chakula kwa kuwa inayo hifadhi ya kutosha huku ikisisitiza kuwa, bei ya bidhaa…

Soma Zaidi »

Sh Bil 1.1  zanogesha ukarabati Mv Tanga

Zaidi ya Sh bil 1.1 zimetumika kufanya ukarabati wa kivuko cha Mv Tanga, ambacho kinatoa huduma ya usafiri eneo la…

Soma Zaidi »

Serikali yataka andiko umri wa kustaafu wahadhiri

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza jumuiya ya vyuo vikuu nchini kukaa pamoja kujadili umri wa kustaafu kwa wahadhiri…

Soma Zaidi »
Back to top button