Fedha

Dk Mwigulu awasilisha mapendekezo ya Sh trilioni 43.3 bajeti 2023/24

SERIKALI inatarajia kukusanya na kutumia kiasi cha Shilingi trilioni 43. 29 kwa mwaka wa fedha 2023/24, ikiwa ni ongezeko la…

Soma Zaidi »

Wadaiwa sugu kodi ya ardhi waonywa

KATIBU Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Allan Kijazi, amewataka wadaiwa sugu wa kodi ya pango…

Soma Zaidi »

TRAB, TRAT zatajwa nakisi ya trilioni 2.8/-

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema Mamlaka ya Mapato (TRA) imeshindwa kukusanya kiasi cha Shilingi…

Soma Zaidi »

GBT| Mashine 300 za michezo ya kubahatisha zateketezwa

BODI ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT) imeendesha msako na kukamata mashine za michezo ya kubahatisha 300 ambazo zilikuwa zinatumika…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu Majaliwa atoa rai kwa Watanzania waishio ughaibuni

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi…

Soma Zaidi »

Korosho tani 20,000 kupelekwa mnadani

TANI 20,000 za korosho ghafi zinatarajiwa kupelekwa kwenye mnada wa pili msimu wa mauzo 2022/2023, ambao unaanza leo sehemu mbalimbali…

Soma Zaidi »

Madereva sasa kuweka mafuta popote, kulipa baadaye

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe, amezindua ‘App’ mpya ya kuwawezesha madereva kupata huduma za mafuta kwa urahisi nchini…

Soma Zaidi »

Wawekezaji waitwa kurudisha Tanga ya viwanda

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetenga eneo la ardhi lenye ukubwa wa hekta 5635, kwa àjili ya uwekezaji sekta mbalimbali…

Soma Zaidi »

Serikali yaokoa bil 61/- kuunganisha mifuko ya jamii

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema serikali imeokoa zaidi ya Sh bilioni 61 za uendeshaji…

Soma Zaidi »

Serikali yapewa mbinu kuteka soko DRC

WACHAMBUZI wa masuala ya diplomasia na uchumi wameishauri serikali iweke mikakati ya kunufaika na soko la dhahabu katika Jamhuri ya…

Soma Zaidi »
Back to top button