Fedha

Serikali yashauriwa kudhibiti mikopo chechefu

WACHAMBUZI wa masuala ya kiuchumi wamesema kutokana na kuwapo mikopo mingi chechefu katika mifuko 52 ya uwezeshaji wananchi kiuchumi ni…

Soma Zaidi »

BoT yaonesha ukusanyaji mzuri wa mapato Januari

RIPOTI ya tathmini ya uchumi ya kila mwezi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mwezi Februari imebainisha kuwa ukusanyaji…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuongeza ubunifu kuzifikia fursa

SERIKALI imewataka wajasiriamali wa bidhaa nchini kuelekeza nguvu zao katika ubunifu wa kidigitali ili kuweza kuzifikia fursa mbalimbali zenye kuongeza…

Soma Zaidi »

Dk Mpango akaribisha wawekezaji EU

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewakaribisha wawekezaji kutoka Umoja wa Ulaya (EU), kuwekeza nchini na kusema Tanzania imedhamiria kuvutia…

Soma Zaidi »

Watakiwa kupata mafunzo ubora wa bidhaa

KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Mussa amewataka  wakurugenzi wa Halmshauri mkoani Arusha kubaini makundi au vikundi yanayojihusisha na uzalishaji…

Soma Zaidi »

‘Tunairejesha Tanga ya viwanda’

Serikali mkoani Tanga, imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji kwenye fursa za viwanda, ili kuirejesha Tanga ya viwanda.…

Soma Zaidi »

Ujumbe mfuko wa uwekezaji China, Afrika kutua nchini

Ujumbe wa Mfuko wa Uwekezaji wa China na Afrika (CADFUND) unatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania mnamo Aprili, 2023. Ahadi hiyo…

Soma Zaidi »

Mtwara waanza maandalizi uzinduzi wa Mwenge

MKOA wa Mtwara unatarajia kufanya mkutano wa watoa huduma za kijamii wakiwemo wafanyabiashara, ili waweze kutoa maelekezo namna watakavyoshiriki katika…

Soma Zaidi »

Ukerewe wapania maendeleo bajeti 2023/24

BARAZA la Madiwani wilayani Ukerewe, limepitisha bajeti ya Sh billion 4.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku utekelezaji wa bajeti…

Soma Zaidi »

Samia awa mbogo rushwa miradi ya maendeleo

RAIS Samia Suluhu Hassan ameonya wakwamishaji wa miradi ya maendeleo ikiwamo ya umeme kwa kuendekeza rushwa, undugu na urasimu usiokuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button