Fedha

Mv Mwanza kuongeza tija SGR

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imesema serikali iliamua kujenga meli kubwa katika Ziwa Victoria ili kukidhi mahitaji ya soko yanayotarajiwa…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutumia mikopo kwa malengo

MKUU mpya wa Wilaya ya Chato mkoani Geita, Deusdedith Katwale amewataka wajasiriamali ambao ni wanufaika na mikopo ya halmashauri kuzingatia…

Soma Zaidi »

Wakulima walalamikia upimaji utamu wa miwa Kilombero

WAKULIMA wa miwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro, wamelalamikia kukosa imani na Kiwanda cha Sukari Kilombero kwa jinsi wanavyopima kiwango cha…

Soma Zaidi »

Wanawake, wamachinga kunufaika na mikopo

WAJASIRIAMALI wanawake, vijana na wamachinga wameandaliwa namna bora ya kupatiwa elimu ya mikopo itakayowawezesha kuboresha mitaji yao na jinsi ya…

Soma Zaidi »

Tanzania, India kufungua fursa mpya biashara

TANZANIA na India zimeonesha dhamira ya kufanya kazi kwa karibu kutafuta njia bora za kufungua fursa mpya za biashara na…

Soma Zaidi »

Tanzania sasa kuingiza bidhaa 10 soko la Afrika

WIZARA ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imesema Tanzania inapaswa kuongeza kasi na kuwa na mikakati ya kuzitumia fursa katika Eneo…

Soma Zaidi »

Kampuni 400 za Ulaya kutua nchini kusaka fursa uwekezaji

KAMPUNI 400 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) zinatarajia kuja nchini mwezi ujao kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji na…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti TPSF ateta na Spika Bunge la India

MWENYEKITI wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula amesema biashara kati ya Tanzania na India inatarajiwa kufikia dola…

Soma Zaidi »

Miradi 630 ya uwekezaji yasajiliwa TIC

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya Dola za…

Soma Zaidi »

DC Rungwe aomba MeTL ibanwe mashamba ya chai

MKUU wa Wilaya ya Rungwe Dk Vicent Anney,  ameishushia lawama kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL), akidai inaua kilimo cha chai…

Soma Zaidi »
Back to top button