Fedha

Madereva sasa kuweka mafuta popote, kulipa baadaye

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe, amezindua ‘App’ mpya ya kuwawezesha madereva kupata huduma za mafuta kwa urahisi nchini…

Soma Zaidi »

Wawekezaji waitwa kurudisha Tanga ya viwanda

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetenga eneo la ardhi lenye ukubwa wa hekta 5635, kwa àjili ya uwekezaji sekta mbalimbali…

Soma Zaidi »

Serikali yaokoa bil 61/- kuunganisha mifuko ya jamii

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema serikali imeokoa zaidi ya Sh bilioni 61 za uendeshaji…

Soma Zaidi »

Serikali yapewa mbinu kuteka soko DRC

WACHAMBUZI wa masuala ya diplomasia na uchumi wameishauri serikali iweke mikakati ya kunufaika na soko la dhahabu katika Jamhuri ya…

Soma Zaidi »

TRA yawafunda wafanyabiashara Nyang’hwale

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), mkoani Geita, imewaomba wafanyabiashara wilayani Nyang’hwale kusajili na kurasimisha biashara zao kwa kupata Namba ya…

Soma Zaidi »

Samia aandika historia Kigoma

RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia mkoani Kigoma kwa kuzima majenereta yaliyokuwa yakitumia Sh bilioni 52 kufua umeme huku mapato…

Soma Zaidi »

Watakiwa wasiwageuze mtaji waliomaliza la saba

WAZAZI na walezi wenye watoto waliohitimu darasa la saba Wilaya Mpanda,  mkoani Katavi wametakiwa wasiwageuze watoto wao mtaji wa kujiingizia…

Soma Zaidi »

Mikataba ya Sh bilioni 375.5 yasainiwa ununuzi wa pembejeo Mtwara

KAMATI ya pamoja ya ununuzi wa pembejeo za zao la korosho na wazabuni wamesaini mkataba wenye thamani ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »

‘Agizo la Rais limeanza kutekelezeka’

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka nchi ijitosheleza  kwa uzalishaji wa sukari yameanza kutekelezeka…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Oktoba 14, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizojiri leo Oktoba 14

Soma Zaidi »
Back to top button