Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Vijana wajizatiti kilimo biashara cha alizeti

Vijana wajizatiti kilimo biashara cha alizeti

KILIMO cha biashara ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wakulima na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, kilimo hicho…
Tanzania, Japan kukuza biashara, uwekezaji

Tanzania, Japan kukuza biashara, uwekezaji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na  wale wa mataifa mengine, ikiwemo Japan ili kunufaika…
Mchengerwa aagiza wamachinga wawe kipaumbele masoko mapya

Mchengerwa aagiza wamachinga wawe kipaumbele masoko mapya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameagiza wamachinga kote nchini…
Tanzania yazidi kuwavutia wawekezaji kimataifa

Tanzania yazidi kuwavutia wawekezaji kimataifa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na…
Soko la nyama choma neema ajira 232

Soko la nyama choma neema ajira 232

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imesema Soko la Nyama Choma Vingunguti litatoa ajira 232, zikiwemo 15 za kudumu.…
Wadau watakiwa kubuni mifumo jumuishi kifedha fursa dhahabu

Wadau watakiwa kubuni mifumo jumuishi kifedha fursa dhahabu

DAR ES SALAAM: WADAU wa sekta ya madini nchini wametakiwa kubuni na kutekeleza mifumo jumuishi ya kifedha itakayowezesha kufungua fursa…
Waziri Mkuu awasili Japan

Waziri Mkuu awasili Japan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya…
ATCL mguu sawa kuiunganisha Afrika

ATCL mguu sawa kuiunganisha Afrika

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Peter Ulanga amesema katika miaka mitano ijayo anaiona ATCL ikiwa sehemu ya…
TSN, NHIF Kujenga Ushirikiano wa Kidijitali

TSN, NHIF Kujenga Ushirikiano wa Kidijitali

DAR-ES-SALAAM : MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Asha Dachi, amekutana na viongozi wa Mfuko wa Taifa…
Wazawa waomba ulinzi dhidi ya wawekezaji

Wazawa waomba ulinzi dhidi ya wawekezaji

JUMUIYA ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, chini ya Mwenyekiti wao Severin Mushi, imeiomba serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuwalinda…
Back to top button