Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TRA yakusanya bil 116/- Mtwara

TRA yakusanya bil 116/- Mtwara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mtwara imefanikiwa kukusanya Sh bilioni 116 kwa mwaka fedha 2023/2024. Hayo yamejiri wakati wa…
Wataalamu wa ununuzi, ugavi waaswa kuzingatia maadili

Wataalamu wa ununuzi, ugavi waaswa kuzingatia maadili

WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya…
Ulipaji kodi kidijiti wapigiwa chapuo

Ulipaji kodi kidijiti wapigiwa chapuo

MJADALA katika toleo lililopita ulibainisha kuwa, maboresho ya kodi na miundo ya ujumuishaji ya hatua kwa hatua ni muhimu katika…
Benki Kuu ya Uganda yapoteza Bilioni 62

Benki Kuu ya Uganda yapoteza Bilioni 62

UGANDA: POLISI nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya…
Dar, TRA kuimarisha mazingira ya kodi Kariakoo

Dar, TRA kuimarisha mazingira ya kodi Kariakoo

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ipo tayari kushirikiana na mamlaka…
Uboreshaji bandari unavyoinua uchumi wa watu Mtwara

Uboreshaji bandari unavyoinua uchumi wa watu Mtwara

ILI kuhakikisha Watanzania wanajikwamua kiuchumi, serikali inaendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu mbalimbali ya kutolea huduma ikiwemo bandari. Katika kuboresha…
Ulipaji kodi kwa awamu kuchochea urasimishaji

Ulipaji kodi kwa awamu kuchochea urasimishaji

KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Kazi Duniani (ILO) za mwaka 2022, sekta isiyo rasmi nchini Tanzania imekuwa nguzo…
Kamati kuwafuatilia wanaojifanya Machinga

Kamati kuwafuatilia wanaojifanya Machinga

DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ameunda kamati ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto…
Sekta isiyo rasmi na mchango kiuchumi usiotambulika

Sekta isiyo rasmi na mchango kiuchumi usiotambulika

SEKTA isiyo rasmi Tanzania ndiyo nguzo ya uchumi wa taifa kwa kuwa inategemewa na mamilioni ya Watanzania kama njia muhimu…
Tanzania yang’ara sekta ya fedha Afrika

Tanzania yang’ara sekta ya fedha Afrika

TANZANIA inazidi kupata mafanikio kwenye sekta ya fedha, imefahamika. Kwa mujibu wa ripoti ya viashiria vya Masoko ya Fedha ya…
Back to top button