Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wananchi Karatu watakiwa kuwa makini huduma za fedha

Wananchi Karatu watakiwa kuwa makini huduma za fedha

WANANCHI wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo zinazingatia sheria, kanuni na…
Usajili wa wawekezaji TIC waongezeka asilimia 44

Usajili wa wawekezaji TIC waongezeka asilimia 44

KITUO Cha Uwekezaji Nchini (TIC) kimesema mwamko wa usajili wa miradi ya wawekezaji umeongezeka kutoka wawekezaji 500 kwa mwaka 2023…
TRA yakusanya Sh bilioni 71.5 kwa miezi sita Kariakoo

TRA yakusanya Sh bilioni 71.5 kwa miezi sita Kariakoo

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya  Sh bilioni 71.5  sawa na asilimia 104  katika kipindi cha miezi…
Wadau wataka somo la kodi liwepo shuleni

Wadau wataka somo la kodi liwepo shuleni

WADAU wa Maendeleo mkoani Shinyanga wameeleza suala la kodi lianze kufundishwa mashuleni ili kuondoa kero na changamoto zinazojitokeza hasa ukwepaji…
SGR yasafirisha wajumbe 922 vikao CCM

SGR yasafirisha wajumbe 922 vikao CCM

DAR ES SALAAM; MKURUGEN ZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema wa metoa treni maalumu ya…
Wafanyabiashara wadaka fursa SGR

Wafanyabiashara wadaka fursa SGR

DAR ES SALAAM; BAADHI ya wafanyabi ashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasa fi rishiwa mizigo…
NIC, Equity kushirikiana suluhisho bima ya kilimo

NIC, Equity kushirikiana suluhisho bima ya kilimo

DAR ES SALAAM : SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) na Benki ya Equity wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati…
Waomba sheria ya VAT Service Levy zifumuliwe

Waomba sheria ya VAT Service Levy zifumuliwe

WAFANYABIASHARA mkoani Geita wameiomba serikali kuzifanyia mapitio sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) pamoja na Sheria ya Ushuru…
DP World yamaliza foleni bandarini

DP World yamaliza foleni bandarini

JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imesema uwekezaji uliofanywa na serikali katika Bandari ya Dar es Salaam, umekuwa na ufanisi mkubwa…
Washindi ‘Santa Mizawadi’ wajibebea pikipiki, simu

Washindi ‘Santa Mizawadi’ wajibebea pikipiki, simu

WATANZANIA kadhaa wamebadili maisha na kujikwamua kwa namna tofauti baada ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo pikipiki, televisheni na simu. Hatua…
Back to top button