Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania, Urusi kuimarisha uchumi

Tanzania, Urusi kuimarisha uchumi

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Urusi wamesaini vipengele muhimu vya makubaliano ya mfumo unaolenga…
Mradi wa Sh bilioni 60 kuboresha sekta ya usafishaji Ziwa Victoria

Mradi wa Sh bilioni 60 kuboresha sekta ya usafishaji Ziwa Victoria

MWANZA/BUKOBA: Serikali ya Tanzania imewekeza Sh bilioni 60 kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa…
Dk Chana ahamasisha uwekezaji mazao ya misitu

Dk Chana ahamasisha uwekezaji mazao ya misitu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amewahimiza wawekezaji wa mazao ya misitu kutoka nchini China kuanzisha viwanda…
Bandari yajipanga kusafirisha shehena ya korosho

Bandari yajipanga kusafirisha shehena ya korosho

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imesema Bandari ya Mtwara imejipanga kusafirisha korosho ghafi ambazo zinatarajiwa kusafirishwa kwenda nje ya…
Waipongeza Tanzania kuondoa vikwazo vya biashara

Waipongeza Tanzania kuondoa vikwazo vya biashara

WAJUMBE wa Bunge la Afrika (PAP) wameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kuondoa vikwazo vya biashara kwa nchi za Jumuiya ya…
Mpango awakaribisha wawekezaji nishati jotoardhi

Mpango awakaribisha wawekezaji nishati jotoardhi

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kushirikiana na Tanzania katika kuwekeza kwenye nishati ya Jotoardhi inayopatikana katika maeneo…
Wafanyabiashara wakumbushwa kutunza taarifa zao

Wafanyabiashara wakumbushwa kutunza taarifa zao

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara mkoani Kagera kutumia mashine  za kielekroniki kwa usahihi (EFD) pamoja na kutunza vizuri…
Uwekezaji wa Sh bil 429.1 waleta mabadiliko Bandari ya Tanga

Uwekezaji wa Sh bil 429.1 waleta mabadiliko Bandari ya Tanga

TANGA: Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa Serikali…
Back to top button