Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo
June 30, 2025
Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo
DAR-ES-SALAAM : BENKI ya Mwanga Hakika imezindua huduma mpya ya utoaji haraka wa mikopo kupitia hati fungani inayoitwa 'Mkopo Chap'…
Ushirikiano Tanzania, China kuibua fursa za ajira
June 29, 2025
Ushirikiano Tanzania, China kuibua fursa za ajira
SERIKALI kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China wanaofanya shughuli zao nchini, imeingia makubaliano ya kutoa ajira kwa zaidi…
Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu
June 29, 2025
Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu
Mradi wa ubunifu wa Fungo umetangaza fursa mbili za wajasiriamali na biashara endelevu, ambapo kiasi cha zaidi ya Sh bilioni…
ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija
June 27, 2025
ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) litapanua wigo wa safari zake za kimataifa…
SGR yatengeneza ajira 9,376
June 27, 2025
SGR yatengeneza ajira 9,376
DODOMA — Ajira za moja kwa moja 9,376 tayari zimezalishwa kupitia utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa ya SGR,…
Uchimbaji visima 3 vipya vya gesi Mtwara kuanza Novemba
June 27, 2025
Uchimbaji visima 3 vipya vya gesi Mtwara kuanza Novemba
MTWARA: Visima vitatu vya gesi asilia vinatarajiwa kuchimbwa katika Kitalu cha Mnazi Bay kilichopo Mkoani Mtwara, ikiwa ni miaka kumi…
Mkutano Mkuu ARSO waanza Zanzibar
June 25, 2025
Mkutano Mkuu ARSO waanza Zanzibar
ZAZNZIBAR; MKUTANO Mkuu wa 31 wa Shirika la Viwango la Afrika (ARSO) umeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip iliyoko…
Uchumi Zanzibar waimarika, Pato la Taifa lapaa
June 24, 2025
Uchumi Zanzibar waimarika, Pato la Taifa lapaa
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imeimarika kutokana na utekelezaji wa malengo ya Serikali ya Awamu ya Nane…
Wadau wa korosho Afrika wakutana Mtwara
June 23, 2025
Wadau wa korosho Afrika wakutana Mtwara
MTWARA; WATALAAMU na wadau wa korosho kutoka nchi nane barani AfriKa leo wamekutana Mkoani Mtwara, kujadili changamoto na fursa kwenye…
Tanga ya nne uchangiaji Pato la Taifa
June 23, 2025
Tanga ya nne uchangiaji Pato la Taifa
TANGA; MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian, amesema kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali, sasa mkoa huo …