Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
WMA yakagua vifaa zaidi ya milioni moja 2024/25
May 14, 2025
WMA yakagua vifaa zaidi ya milioni moja 2024/25
WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Vipimo (WMA), imekagua na kuhakiki jumla ya vifaa vya vipimo 1,013,859 katika…
Mtanzania ateuliwa bosi mpya kampuni ya Visa
May 14, 2025
Mtanzania ateuliwa bosi mpya kampuni ya Visa
MENEJA Mpya wa Visa nchini, Victor Makere, ameahidi kuongoza upanuzi wa malipo ya kidijitali nchini Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda.…
Majaliwa ateta na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire
May 14, 2025
Majaliwa ateta na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia,…
Serikali yawezesha wabanguaji korosho kujiimarisha kiuchumi
May 13, 2025
Serikali yawezesha wabanguaji korosho kujiimarisha kiuchumi
SERIKALI inaendelea kuwainua wabanguaji wadogo wa zao la korosho nchini katika mazingira mbalimbali. Mazingira hayo ni pamoja na suala la…
Biashara Tanzania, Malawi sasa ioneshe ‘sura mpya’
May 13, 2025
Biashara Tanzania, Malawi sasa ioneshe ‘sura mpya’
WIKI mbili za hivi karibuni, HabariLEO Afrika Mashariki lilikuwa na makala zinazohusu uhusiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Malawi…
‘Uchumi Tanzania unainuka kwa kasi kupitia Muungano’
May 13, 2025
‘Uchumi Tanzania unainuka kwa kasi kupitia Muungano’
“NAOMBA niwe mkweli, Zanzibar tuna madaktari 134 na kati yao, madaktari bingwa ni wanne tu. Hali hii inalazimu wagonjwa wetu…
DARAJA LA MAGUFULI: Kichocheo cha biashara na uchumi EAC
May 13, 2025
DARAJA LA MAGUFULI: Kichocheo cha biashara na uchumi EAC
“BARABARA nzuri na madaraja hayafanyi kazi ya kuunganisha maeneo pekee, bali pia huunganishja watu na fursa, watoto na shule, wakulima…
Tanzania, Msumbiji wageukia uchumi
May 10, 2025
Tanzania, Msumbiji wageukia uchumi
RAIS Samia Suluhu Hassan amemuaga mgeni wake Rais wa Msumbiji, Daniel Chapo aliyewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku…
TRA, SICPA wauangana kutoa mafunzo utendaji mfumo wa Smart DAS
May 9, 2025
TRA, SICPA wauangana kutoa mafunzo utendaji mfumo wa Smart DAS
DAR ES SALAAM: Katika juhudi endelevu za kuboresha usimamizi wa kodi na kuongeza uzingatiaji miongoni mwa wazalishaji wa bidhaa zinazotozwa…
Tanzania, Msumbiji kimkakati biashara, uwekezaji
May 9, 2025
Tanzania, Msumbiji kimkakati biashara, uwekezaji
SERIKALI za Tanzania na Msumbiji zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika biashara na uwekezaji. Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar…