Uchumi

Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TPA hafla utiaji saini uwekezaji bandari

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais…

Soma Zaidi »

Hafla Utiaji saini uendeshaji bandari

DODOMA;Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Profesa Godius Kahyarara wakitia saini Mkataba…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara waitwa maonesho Tunduma

SONGWE. Tunduma. MKUU wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongos amewakaribisha wawekezaji kutoka mikoa mbalimbali ndani ya nchi  na wengine kutoka…

Soma Zaidi »

Kumekucha usafirishaji korosho Mtwara

MTWARA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA), imeanza kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kusafirisha korosho zinazozalishwa…

Soma Zaidi »

Mnada wa kwanza wa korosho wafanyika Tandahimba

MNADA wa kwanza wa zao la korosho umefanyika rasmi leo kwenye Chama Kikuu cha Ushirika wa Wilaya za Tandahimba na…

Soma Zaidi »

‘Sekta ya usafirishaji inahitaji wataalamu wa kutosha’

WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema sekta ya usafirishaji inahitaji wataalamu wa kutosha kwa ajili ya kufanya kazi katika…

Soma Zaidi »

Ujenzi Soko la Kariakoo tayari kumenoga

DSM; UJENZI wa Soko la Kariakoo lililopo mkoani Dar es Salaam umefikia asiliamia 91, ambapo kiasi cha fedha kilichotumika ni…

Soma Zaidi »

Tunduma kukusanya Sh milioni 80 maegesho ya magari

SONGWE; HALMASHAURI ya Mji Tunduma inategemea kukusanya kiasi cha Sh Millioni 80 mwaka wa fedha 2023/24 kupitia chanzo cha mapato…

Soma Zaidi »

Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

BANGKOK, Thailand: WAKATI wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa…

Soma Zaidi »

TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi…

Soma Zaidi »
Back to top button