Uchumi

Jiji lajipanga uzalishaji majongoo bahari, kaa

JIJI la Tanga limejipanga kuwa kinara katika uzalishaji wa majongoo bahari, unenepeshaji wa kaa pamoja na kilimo cha mwani nchini…

Soma Zaidi »

‘DP World haitakuwa na mamlaka kupunguza wafanyakazi’

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Hamza Johari, ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Majadiliano kuhusu mwekezaji mpya kwenye…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Msiogope kushirikiana na wakosoaji

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi  mbalimbali kushirikiana na wadau wanaohisi wana mchango mzuri kwenye maendeleo ya taasisi zao. –…

Soma Zaidi »

Samia: Maendeleo ni haki ya Watanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi katika sekta mbalimbali kujali na kuthamini maendeleo, akisema kuwa ni haki ya Watanzania kuiona…

Soma Zaidi »

Samia ataka Watanzania kuchangamkia fursa

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza, kwani fursa huja na kupotea kwa haraka. – Rais Samia…

Soma Zaidi »

Wawekezaji waitwa Katavi

WAWEKEZAJI nchini wameombwa kuendelea kuwekeza katika Wilaya ya Tanganyika na Mkoa wa Katavi kwa ujumla kwa kuwa serikali inaendelea na…

Soma Zaidi »

Msajili wa Hazina ataka ufanisi taasisi, mashirika

MSAJILI wa Hazina Nehemia Mchechu ameanza kuzifanyia tathimini taasisi na mashirika ya serikali, akisema kiu yake kubwa ni kuona taasisi…

Soma Zaidi »

Watafiti wabaini teknolojia rahisi ya upandaji wa pamba

MKULIMA wa pamba kutoka Kata ya Nkoma wilayani Meatu mkoani Simiyu, Shoga Fares anaelezea jinsi alivyopata elimu ya kilimo bora…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atembelea bandari ya Mtwara

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita 300 ikiwa na…

Soma Zaidi »

REA yaita wanaotaka kufungua vituo vya mafuta vijijini

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA),  imewaita wananchi wenye nia ya kuwekeza katika ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini kufika katika…

Soma Zaidi »
Back to top button