Uchumi

TARURA wafanya kweli barabara Musoma-Bunda

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoani Mara inajenga Barabara yenye Kilomita 11, ambayo inaunganisha Wilaya za Musoma…

Soma Zaidi »

Mwigulu aeleza azma ya Samia kukuza kilimo

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amelieleza Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuimarisha kilimo cha umwagiliaji…

Soma Zaidi »

Ireland yatoa Sh bil.4.6 uchumi wa buluu

SERIKALI ya Ireland imetoa fedha kiasi cha Sh bil 4. 6 kwa ajili ya kusaidia serikali ya Tanzania katika juhudi…

Soma Zaidi »

Faida uwekezaji mpya Tanga Cement zatajwa

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa uwekezaji mpya wa zaidi ya dola za kimarekani milioni…

Soma Zaidi »

Mfuko wa Faida wazidi kunoga

MFUKO wa Faida unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umeongeza faida kutoka Sh bilioni 12 Januari mwaka huu hadi Sh…

Soma Zaidi »

ATCL yarejesha safari za ndege Dar- Guangzhou

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia Mei 11, 2023. Kupitia…

Soma Zaidi »

Bashe: Taifa linajitosheleza kwa chakula

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Tanzania inajitosheleza kwenye hazina ya chakula na pia baki ya kuuza nje. Ameyasema hayo…

Soma Zaidi »

Geita yavutia wawekezaji kutoka Dubai

KAMPUNI ya Isra Gold Tanzania inayomilikiwa na wawekezaji kutoka Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imefungua kituo cha kusafisha…

Soma Zaidi »

Serikali yafanya kweli kilimo biashara

WADAU wa sekta ya kilimo wameipongeza serikali kwa kuanza kutekeleza programu ya kuwezesha ushiriki wa vijana katika kilimo biashara (BBT-…

Soma Zaidi »

Bei mafuta ya kupikia, vifaa vya ujenzi zapungua

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema bei ya mafuta ya kupikia imeshuka. Dk Kijaji aliyasema hayo…

Soma Zaidi »
Back to top button