Uwekezajia

Serikali: Uwanja mpya wa Simba kupunguza mzigo Lupaso

DAR ES SALAAM — Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amepongeza uamuzi wa Simba kujenga uwanja wa…

Soma Zaidi »

Waanzisha ushirikiano wa kitaalamu sekta ya ujenzi

OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baraza la Taifa la Ujenzi zimeingia makubaliano kwa ajili ya ushirikiano wa kitaalamu…

Soma Zaidi »

Dodoma yapata bil 529/- miundombinu uchukuzi

BODI ya Wakurugenzi wakuu wa Benki ya Dunia imeidhinisha Dola za Marekani milioni 200 sawa na Sh bilioni 528.57 za…

Soma Zaidi »

Agizo la Tanga ya viwanda laanza kutekelezwa

TIMU ya ufuatiliaji iliyoundwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na wadau wa sekta ya viwanda mkoani…

Soma Zaidi »

Misri yaeleza mvuto wa Tanzania uwekezaji

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje mwa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Dk Badr Abdelatty amesema…

Soma Zaidi »

Kamati ya Bunge yatoa neno miundombinu mabasi ya mwendokasi

DAR ES SALAAM; KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeshauri serikali kuongeza usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara…

Soma Zaidi »

RC Geita awatimua maofisa wa GGML kikao cha RCC

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameamuru maofisa watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML)…

Soma Zaidi »

Tanzania yanga’ara uwekezaji kutoka nje

UWEKEZAJI wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) umeendelea kuongezeka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, imefahamika. Ripoti ya Uwekezaji…

Soma Zaidi »

Kitila: Hakuna sababu ya kuagiza nondo, mabati nje

SERIKALI imesema hakuna haja ya kuagiza nondo na mabati kutoka nje ya nchi kwa sababu viwanda vilivyopo nchini vinakidhi mahitaji.…

Soma Zaidi »

Samia: Tanzania imefunguka kwa uwekezaji

RAIS Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji kuwa Tanzania imefunguka kwa uwekezaji na ni nchi salama yenye sera za uwekezaji rafiki,…

Soma Zaidi »
Back to top button