MSAJILI wa Hazina, Nehemia Mchechu amesema mwezi ujao wanatarajia kutangaza mashirika na kampuni zitakazofutwa, kuunganishwa na zitakazopewa muda wa kurekebisha…
Soma Zaidi »Uwekezajia
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limeamua kutumia ndege mpya ya kisasa ya mizigo Boeing 767-300 inayomilikiwa…
Soma Zaidi »SERIKALI imesema hadi sasa haijapata kampuni ya kuwekeza katika bandari na haitauza au kubinafsisha bandari yoyote. Msemaji Mkuu wa Serikali,…
Soma Zaidi »WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko…
Soma Zaidi »MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kukuza kipato na kuimarisha uchumi kupitia…
Soma Zaidi »CHUO cha Kodi kimewataka vijana wanaosoma chuoni hapo kuondoa dhana kuwa sehemu pekee wanayoweza kupata ajira ni Mamlaka ya Mapato…
Soma Zaidi »JIJI la Tanga limejipanga kuwa kinara katika uzalishaji wa majongoo bahari, unenepeshaji wa kaa pamoja na kilimo cha mwani nchini…
Soma Zaidi »RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekubalina na Rais wa Hungary, Katalin Novak wawekezaji kutoka Hungary kuwekeza katika miradi…
Soma Zaidi »WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya.…
Soma Zaidi »Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Hamza Johari, ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Majadiliano kuhusu mwekezaji mpya kwenye…
Soma Zaidi »








