Uwekezajia

CMSA watoa mafunzo uwekezaji Mwanza

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)  kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya fedha  imetoa mafunzo ya kutambua…

Soma Zaidi »

TIC wapewa maelekezo changamoto za wawekezaji

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji amekitaka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuhakikisha  wanatatua changamoto za wawekezaji…

Soma Zaidi »

‘Benki punguzeni riba watu wakope’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amezitaka benki mbalimbali nchini kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na…

Soma Zaidi »

China kuwekeza sekta ya nishati nchini

MFUKO  wa Uwekezaji wa China Africa Development Fund (CADFUND) umeonesha nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika sekta ya Nishati kwa…

Soma Zaidi »

TPA yapunguza tozo mbalimbali

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imepunguza tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kwa lengo la kuvutia wateja zaidi katika…

Soma Zaidi »

Mikopo kumaliza changamoto TAMONGSCO

SHIRIKISHO la Wamiliki na Mameneja wa Shule na Vyuo Visivyo vya Serikali (TAMONGSCO) limeiomba Kamati ya Bunge ya Elimu pamoja na…

Soma Zaidi »

Udokozi wa vifaa vya ujenzi uachwe

RAIS  Samia Suluhu Hassan ameagiza wakandarasi pamoja na wafanyakazi katika miradi mbalimbali nchini kusimamia vifaa vya kazi ili kuepusha wizi…

Soma Zaidi »

Mv Mwanza kukabidhiwa Agosti

UJENZI wa meli mpya ya Mv Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ utakamilika mwezi Agosti mwaka huu na kukabidhiwa kwa serikali. Meli…

Soma Zaidi »

Maonesho ya viwanda kuunganisha wawekezaji

KWA mara ya kwanza Tanzania imeandaa Maonesho ya Kimataifa ya wenye viwanda kwa lengo la kuunganisha sekta hiyo na wawekezaji…

Soma Zaidi »

‘Tuzungumze hali halisi katika uwekezaji’

VIONGOZI wa serikali pamoja na wanasiasa nchini wametakiwa kuzungumza uhalisia wa hali halisi katika uwekezaji ili kutafuta suluhisho katika eneo…

Soma Zaidi »
Back to top button