Uwekezajia

Makapi ya korosho dili ya kuzalisha mafuta, umeme

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha korosho zote zinabanguliwa nchini ifikapo 2026 ili kukuza…

Soma Zaidi »

BoT yatahadharisha wanaoshikilia dola

ARUSHA: Banki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tahadhari kwa raia wanaoshikilia pesa za kigeni hususani dola ya Marekani kuwa wapo…

Soma Zaidi »

TASAC yaboresha kanuni kuongeza ufanisi

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC),  limesikia kilio cha wadau wa sekta ya usafiri kwa njia ya maji kwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia kushuhudia viongozi Taasisi za Umma wakiteta

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mkutano wa Viongozi wa Taasisi na Mashirika ya Umma unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

Serikali yaweka nguvu Mpigachapa Mkuu

SERIKALI imetoa  kiasi cha Sh bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda kipya cha Mpigachapa mkuu wa serikali na…

Soma Zaidi »

Abuni mashine kuchakata mafuta ya parachichi

MASHINE rahisi isiyotumia umeme imebuniwa kwa lengo la kuchakata mafuta ya parachichi. Mbunifu na Mtafiti kutoka Shirika la Utafiti na…

Soma Zaidi »

TRA: Vitenge vya nje vimepunguziwa kodi

VITENGE vinavyoagizwa nje ya nchi vimepunguzwa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA), hivyo kutoa unafuu kwa wafanyabiashara. Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Machinga Iringa watangaza kurudi maeneo yasio rasmi

MACHINGA wanaofanya biashara katika soko la Machinga la Mlandege mjini Iringa, leo wametangaza kurejea katikati ya mji katika maeneo yasio…

Soma Zaidi »

TPDC kuongeza tija uzalishaji gesi

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kukarabati kisima namba moja cha kuzalisha gesi asilia Mnazi Bay, mkoani Mtwara, …

Soma Zaidi »

Kampuni yaweka mikakati uwekezaji

Kampuni ya uwekezaji wa pamoja UTT AMIS imesema inaendelea kuboresha huduma zake ili kuwafikia wateja wengi zaidi na kuwa daraja…

Soma Zaidi »
Back to top button