Featured

Featured posts

Kambi maalum kuchunguza maumivu ya viungo

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) Upanga kwa kushirikiana na taasisi ya ROAD2IR ya nchini Marekani  itafanya kambi maalum ya uchunguzi…

Soma Zaidi »

Ruben Amorim kuiwahi Chelsea Old Trafford

TETESI za usajili wa soka zinasema Manchester United inatumaini kumpeleka Ruben Amorim Old Trafford kabla ya kipute cha Ligi Kuu…

Soma Zaidi »

Serikali yazidisha fursa wataalam wa ujenzi

SERIKALI imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi kwa kuwashirikisha…

Soma Zaidi »

Vumbi kutimka raundi ya 4 Kombe la Carabao

MECHI sita za michuano ya Kombe la Carabao huko England zinapigwa leo katika vianja tofauti. Brighton inaialika bingwa mtetezi Liverpool…

Soma Zaidi »

TARURA yatekeleza agizo ujenzi daraja Gairo

WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Gairo Mkoa wa Morogoro, imetekeleza agizo la Rais Dk Samia…

Soma Zaidi »

Ni Yanga au Singida BS mbabe Ligi Kuu leo?

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo inashuka dimba la New Amaan Complex, Zanzibar ikiwa mgeni wa Singida…

Soma Zaidi »

Tanroads waendelea kutekeleza miradi ya tril 4.6/-

SERIKALI inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani…

Soma Zaidi »

Maandalizi CHAN 2025, AFCON 2027 yapamba moto

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Damas Ndumbaro amekagua miundombinu ya michezo katika uwanja wa Shule Kuu ya Sheria…

Soma Zaidi »

Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo Oktoba 29 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa…

Soma Zaidi »

Rais Samia ahutubia Mkutano wa 11 wa Merck

Soma Zaidi »
Back to top button