Featured

Featured posts

‘Nasrallah amejiunga na mashujaa wenzake’

KUNDI la Hezbollah la Lebanon limethibitisha kuuawa kwa kiognozi wake Hassan Nasrallah, baada ya Jeshi la Ulinzi la Israel kushambulia…

Soma Zaidi »

Ken Gold yachekelea pointi ya kwanza Ligi Kuu

KLABU ya Ken Gold imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Tabora United kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine jijini…

Soma Zaidi »

Kiduku kuwasha moto Ujerumani leo

BONDIA Twaha Kassim ‘Kiduku’ anatarajia kupanda ulingoni Leo kuchuana na bondia wa Ujerumani Juergen Doberstein katika pambano la kuwania mkanda…

Soma Zaidi »

Jeshi la Israel: Hassan Nasrallah amekufa

JESHI la Israel leo limetangaza ramsi kumuua kiongozi wa kundi Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku moja baada ya kufanya shambulio kubwa…

Soma Zaidi »

Kocha Azam FC alia umbali Kigoma

KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kuwa muda mfupi tangu kumaliza mechi na Simba umbali mrefu kutoka Zanzibar hadi…

Soma Zaidi »

Eti Newcastle ‘inaizumu’ Man City!

BAADA ya kusawazisha dakika za jioni katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu England(EPL) dhidi Arsenal, bingwa mtetezi Manchester City leo…

Soma Zaidi »

Vibonde kuzinduka Ligi Kuu leo?

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa Dar es Salaam, Mbeya na Lindi ikihusisha timu tatu zinazoshika…

Soma Zaidi »

Wachimbaji wadogo Geita waja kivingine

GEITA; CHAMA cha Wachimbaji Wadogo Mkoa wa Geita (GEREMA), kimekuja na mikakati mipya kuwezesha sekta ya madini inaendelea kupiga hatua…

Soma Zaidi »

Rais Samia asomewa Dua wilayani Tunduru

Soma Zaidi »

Liverpool yawania saini ya kinda Bundesliga

TETESI za usajili kimataifa zinasema Liverpool imeripotiwa kumfuatilia kwa karibu kiungo wa SC Freiburg inayoshiriki Ligi Kuu Ujerumani-Bundesliga, Merlin Rohl,…

Soma Zaidi »
Back to top button