Featured

Featured posts

Azam vs Simba: Ni kisasi ‘dabi’ ya Mzizima

ZANZIBAR: MACHO na masikio ya wapenda soka leo yataelekea visiwani Zanzibar ambako Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mcheo mmoja…

Soma Zaidi »

Mkongwe Raphael Varane astaafu soka

BEKI wa zamani wa Manchester United, Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Raphael Varane amestaafu kucheza soka akiwa…

Soma Zaidi »

Boda boda kupewa elimu ajali za barabarani

SHIRIKA la Msalaba Mwekundu (TRCS) kwa kushirikiana na Kampuni ya Breweries Limited imezinduzi wa mpango wa mafunzo kwa waendesha piki…

Soma Zaidi »

Ken Gold mikononi mwa Yanga Ligi Kuu leo

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo inashuka dimba la Sokoine jijini Mbeya dhidi ya Ken Gold iliyopoteza…

Soma Zaidi »

Huyu ndiye mwanzilishi wa Instagram

KEVIN Systrom ana umri wa miaka 40 ni mtayarishaji programu za kompyuta na mjasiriamali raia wa Marekani. Systrom ndiye mwanzilishi…

Soma Zaidi »

Tanzania yafuzu hatua ya pili Kriketi

TANZANIA imefuzu hatua ya pili michuano ya Afrika ya kufuzu Kombe la Dunia baada ya kuitandika Ghana kwa mikimbio 88…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Mikindani wapewa elimu, maziwa

BODI ya Maziwa imetoa elimu pamoja na maziwa kwa watoto wenye mahitaji maalumu kutoka shule mbalimbali zilizopo Manispaa ya Mtwara…

Soma Zaidi »

Rais Samia awaenzi mashujaa vita Maji Maji

RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Maji Maji iliyopo Mjini Songea mkoani Ruvuma kwa lengo la kutoa…

Soma Zaidi »

Jamii zatakiwa kuishi vizuri kulinda watoto

JAMII imetakiwa kuishi kwa upendo katika familia na kuzuia migogoro isiyo ya lazima inayosababisha watoto kukosa huduma muhimu za malezi…

Soma Zaidi »

Wabadhirifu mikopo ya halmashauri kukiona

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema hatosita kuwachukulia hatua…

Soma Zaidi »
Back to top button