Infographics

Sensa imerahisisha – Mavunde

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amepongeza zoezi la sensa ya watu na makazi mwaka 2022 kwa kutoa takwimu za…

Soma Zaidi »

Chatanda aahidi kufuata dira anayoitaka Samia

UONGOZI mpya wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) umeahidi kuongoza jumuiya hiyo kwa kuzingatia dira aliyoitoa Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

CCM yachukizwa na udhalilishaji wa Heche

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kitendo cha Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuonekana katika video katika…

Soma Zaidi »

Mtoto wa Rais wa zamani kukamatwa kwa ufisadi

MWANASHERIA Mkuu wa Angola Helder Pitta Groz amethibitisha kuwa nchi yake imetoa hati ya kukamatwa kwa binti wa  Rais wa…

Soma Zaidi »

‘Unbeaten’ ya Yanga yafikia mwisho

Klabu ya Yanga imefikia tamati leo ya kucheza michezo 49 bila kufungwa baada ya kupokea kipigo cha kwanza cha mabao…

Soma Zaidi »

Watumishi 21 wasimamishwa Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omar Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma 21  kwa kuhusika  katika tukio la moto lililochoma…

Soma Zaidi »

Rushwa ya ngono ‘Kagueni vyeti sio maungo’

WAKATI Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia,  wadau wa masuala ya jinsia…

Soma Zaidi »

Wananchi Kyerwa wasogezewa karibu kuduma za kisheria

Wananchi wa wilaya ya Kyerwa wanatarajia kupunguza mwendo wa kilometa 100 ambao walikuwa wakitembea kutoka Kyerwa hadi Karagwe kwa ajili…

Soma Zaidi »

COSOTA kutoa elimu kwa vyama na mashirikisho kutambua haki

MSIMAMIZI wa Haki Miliki (COSOTA)  Doreen Sinare amesema wameanza kutoa elimu kwa vyama na mashirikisho ya sanaa ili kuwajengea uwezo …

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu aiagiza Dawasa kutafuta vyanzo vipya vya maji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya…

Soma Zaidi »
Back to top button