Infographics

Ridhiwan Kikwete ajitosa mgogoro Chasimba

NAIBU Waziri wa Ardhi, Ridhiwan Kikwete ameahidi kushughulikia tatizo la mgogoro wa ardhi kwenye eneo la Chasimba, Bunju wilayani Kinondoni…

Soma Zaidi »

Askari Polisi 5 mbaroni kwa usafirishaji wahamiaji haramu

JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia askari watano wa Jeshi hilo kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maelekezo 4 uhaba wa maji Dar

UHABA wa maji jijini Dar es Salam, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maelekezo mapya manne kwa Mamlaka zinazosimamia rasilimali za…

Soma Zaidi »

Watakiwa kupanda miti ya matunda Mil. 1.5

WAKUU wa Mikoa wametakiwa kuhamasisha upandaji miti 1,500,000 ya matunda katika mikoa yao. Maelekezo hayo yametolewa na Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Sensa imefanikiwa asilimia 99.9

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema zoezi la Sensa ya Watu na Makazi limefanikiwa kwa asilimia 99.9. Akizungumza katika katika hafla…

Soma Zaidi »

Wataalamu Vyuo Vikuu wahusishwa Sensa

MTAKWIMU  Mkuu wa Serikali Dkt Albina Chuwa, amesema matokeo ya Sensa yanayotangazwa leo Oktoba 31,2022 yamefanyiwa kazi kitaalamu kwa asilimia…

Soma Zaidi »

Madaktari waonya unyweshaji watoto pombe

JAMII imetakiwa kuacha kuwanywesha watoto pombe kwani ina athari kubwa kwa kundi hilo. Rai hiyo imetolewa ikiwa ni siku chache…

Soma Zaidi »

Serikali kujenga mabwawa 14 

SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo inatarajia  kujenga mabwawa 14 kwa ajili ya kuwezesha kilimo cha umwagiliaji katika mwaka wa fedha…

Soma Zaidi »

TMDA yagawa dawa za binadamu Magereza

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)Kanda ya Kusini imekabidhi msaada wa dawa tiba za binadamu zenye thamani ya shilingi…

Soma Zaidi »

Dk. Tax amuwakilisha Rais Samia

WAZIRI  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Dkt. Stergomena Tax amewalisili Maseru, Lesotho kumwakilisha Rais wa Jamhuri…

Soma Zaidi »
Back to top button