Jamii

Diamond; Nikikupa moyo wangu unadondoka puuh!

DAR ES SALAAM: Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema yeye ni binadamu mvumilivu mno…

Soma Zaidi »

Diamond: Siongei sana, nishavuka huko

DAR ES SALAAM :Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema mwaka huu amejipanga kufanya muziki mzuri wa…

Soma Zaidi »

Mamalishe jela maisha kuishi kinyumba na mtoto

MTWARA: MAMALISHE Asha Chamchuno (46) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono dhidi ya mtoto wa…

Soma Zaidi »

Maofisa wahifadhi udhibiti wanyamapori wanolewa

ARUSHA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imewanoa maofisa na wahifadhi udhibiti wanyamapori…

Soma Zaidi »

‘Aprili 10 ni Eid al Fitri’

DAR ES SALAAM: MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally amethibitisha mwandamo wa mwezi wa Shawwal. Akitoa taarifa…

Soma Zaidi »

‘Hata mfungo ukiisha tuendeleze mambo mema’

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka Waumini wa dini ya…

Soma Zaidi »

‘Mafuriko Rufiji chanzo si Bwawa la Nyerere’

RUFIJI: Chanzo cha mafuriko Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani kimetajwa kuwa ni uvamizi wa wananchi katika mkondo wa mto na…

Soma Zaidi »

Watu 83,000 wanahitaji msaada Rufiji

PWANI: MUU wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele amesema wilaya yake ina  jumla ya kata 13 kati ya hizo…

Soma Zaidi »

Kinana ataka misaada zaidi waathirika Rufiji

PWANI: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka serikali kuharakisha huduma kwa wananchi wa Rufiji waliopata maafa ya mafuriko, huku uvamizi wa…

Soma Zaidi »

‘Miradi izingatie thamani ya fedha’

TANGA: KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Godfrey Mzava, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe kusimamia ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button