Jamii

Kinana: Maisha ni hadithi

ARUSHA: Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara,Abdulrahman Kinana amesema maisha ni hadithi hivyo ukitaka kuandika maisha yako uwe na mambo…

Soma Zaidi »

Gwajima avalia njuga ubakaji ufukweni

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima amesema kuna haja ya…

Soma Zaidi »

Mwanahabari akemea matukio ukatili kwa watoto

MWANAHABARI mtetezi wa watoto na wanawake, Dk Tumaini Msowoya amelaani matukio ya kikatili dhidi ya watoto likiwemo la hivi karibuni…

Soma Zaidi »

REGROW watoa ajira 178 Hifadhi ya Nyerere

MRADI  wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na kukuza Utalii Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania (REGROW), umetoa ajira 178 kwa…

Soma Zaidi »

JK atamani makubwa zaidi Tanga School

DAR ES SALAAM; RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema anataka Tanga School iwe miongoni mwa shule zinazoshika…

Soma Zaidi »

‘Fursa bandari Dar itachochea kukuza uchumi’

DAR ES SALAAM; Serikali imesema uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam utaiwezesha Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), kuongeza mapato…

Soma Zaidi »

Wakurugenzi, Ma-RC kueleza utekelezaji majukumu yao

DAR ES SALAAM; Idara ya Habari (Maelezo), imeandaa programu maalum ya kuwakutanisha Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote kwenye…

Soma Zaidi »

Miaka 100 ya Uturuki Uwanja wa Msimbazi Mseto Tanzania

DAR ES SALAAM; “MNAMO Oktoba 29, mwaka 1923, miaka 100 iliyopita, Mara tu baada ya ushindi katika Vita vya Uhuru…

Soma Zaidi »

Taasisi za haki jinai zatakiwa kuajiri wataalam wa lugha ya alama

MOROGORO: TUME ya Rais ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai ambayo kwa sasa imekuwa ni Kamati imeshauriwa…

Soma Zaidi »

Dakika 120 za kurekebisha maumbo ya wanawake 4 Muhimbili-Mloganzila

DAR ES SALAAM: JOPO la madaktari limetumia jumla ya saa mbili kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha  maumbo ya wanawake wanne kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button