Jamii

Basi latumbukia Mto Pangani

Basi la kampuni ya Moa linalifanya safari zake kati ya Tanga na Pangani na kuvuka kwa kivuko kwenda Kipumbwi, limetumbukia…

Soma Zaidi »

Mgogoro wafugaji, wawekezaji Kitengule kumalizwa

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega amewahakikishia wananchi na wawekezaji wa Wilaya ya Karagwe kushughulikia haraka mgogoro wa kitalu…

Soma Zaidi »

Mkakati wa kukomesha habari za upotoshaji waja

SERIKALI imeazimia kuharakisha kuzindua mkakati wa kitaifa wa mawasiliano nchini. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa taarifa na ujumbe muhimu unatoka…

Soma Zaidi »

Polisi yasaka aliyemnajisi mtoto wa darasa la tatu

POLISI Mkoa wa Katavi inamsaka mtu mmoja ambaye bado hajafahamika kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12.…

Soma Zaidi »

Biharamulo mbioni kupata maji ya uhakika

WIZARA ya Maji  imetenga zaidi ya Sh  milioni 850 kwa ajili ya ujenzi wa chanzo cha maji kutoka Ziwa Victoria,…

Soma Zaidi »

Dar watakiwa kutumia fursa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kukuza kipato na kuimarisha uchumi kupitia…

Soma Zaidi »

Uhaba wa vitunguu wapaisha bei

UHABA wa vitunguu katika soko la Ilala jijini Dar es Salaam, umesababisha bei ya vitunguu kuwa juu na kufikia kati…

Soma Zaidi »

Askari zaidi wakamatwa  usafirishaji mirungi

WATU watatu wakiwemo askari wawili wameingizwa katika sakata la Mrakibu Msaidizi wa Polisi wa Kituo cha Polisi wilayani Arumeru mkoani…

Soma Zaidi »

Polisi yadaka 11 wale ‘Tuma kwa namba hii’

JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga, limekamata watu 11, wakiwemo wanawake wawili na wanaume tisa wakazi wa Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »

Serikali kupeleka polisi kata zote

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema serikali inatekeleza mkakati wa kusogeza huduma za kipolisi kwa wananchi ukiwamo wa…

Soma Zaidi »
Back to top button