Jamii

Tume yapingwa kuondoa ukamataji kwa ma-RC, ma-DC

WASOMI na wachambuzi wa masuala ya siasa wameshauri wakuu wa mikoa na wilaya wasiondolewe mamlaka ya kuwakamata na kuwaweka mahabusu…

Soma Zaidi »

Wenza wafundwa mgawo wa mali wakiachana

CHAMA cha Wanasheria Wanawake (TAWLA) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), wametoa ushauri kwa watu wafunge ndoa…

Soma Zaidi »

Vita ya Urusi ‘ilivyomhamishia’ raia wa Ukraine kijijini Kizimkazi-Unguja  

Kizimkazi ni kijiji kilichopo katika Kata ya Kizimkazi Mkunguni, takribani 56 kutoka Mjini Unguja, Zanzibar. Wenyeji wa eneo hili, lenye…

Soma Zaidi »

Auawa akimzuia babu asibake

Meshack Binari (34), mkazi wa Kijiji cha Katambike, Kata ya Ugala Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi ameuawa, wakati akijaribu kumzuia…

Soma Zaidi »

Watoto 3 familia moja wafa maji wakivua

Watoto watatu wa familia moja katika Kitongoji cha Kayenze ‘B’, Kijiji cha Kamilala Kata ya Katuma mkoani Katavi, wamekutwa wamekufa…

Soma Zaidi »

“Wazazi msichapishe picha za watoto mitandaoni”

WAZAZI wameshauriwa kutochapisha picha za watoto wao mitandaoni ili kulinda haki zao. Mkufunzi kutoka Jamii Forum, Francis Nyonzo alitoa ushauri…

Soma Zaidi »

Jiji lajipanga uzalishaji majongoo bahari, kaa

JIJI la Tanga limejipanga kuwa kinara katika uzalishaji wa majongoo bahari, unenepeshaji wa kaa pamoja na kilimo cha mwani nchini…

Soma Zaidi »

Dereva mbaroni kwa kubaka, kutomasa watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata dereva wa bajaji katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi, Ayubu Mng’osi (30) kwa…

Soma Zaidi »

‘Magari ya Zimamoto yapishwe barabarani’

JESHI la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza limewataka watumiaji wa barabara kupisha magari yao yanapokuwa yanakwenda kukabili majanga ya…

Soma Zaidi »

Zimamoto waonya wanaotoa taarifa za uwongo

Jeshi la Zimamoto na uokoaji  mkoani Arusha limewaonya wananchi wanaotoa taarifa za uongo kwa jeshi hilo, likisema linahitaji ushirikiano kutoka…

Soma Zaidi »
Back to top button