Jamii

Wizara: Idadi wanaume wanaotaka DNA inatisha

CHIFU Mkuu wa Tekwaro Lango, Dk Moses Michael Odongo Okune amewataka wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba maarufu DNA kwa ajili…

Soma Zaidi »

Wanne kunyongwa kwa kumuua diwani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu watu wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Diwani wa…

Soma Zaidi »

“Wadau utamaduni wahudumiwe kwa wakati”

KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amewataka watendaji na watumishi wa taasisi chini ya wizara hiyo…

Soma Zaidi »

Watumishi Mafinga watuhumiwa kunufaika na mkopo sugu

WALIOKUWA wajasiriamali wanachama wa kikundi cha Mnyigumba kilichokuwa na kiwanda kidogo cha kuzalisha sabuni mjini Mafinga wilayani Mufindi wamekalia kuti…

Soma Zaidi »

‘Sekta ya uvuvi ina umuhimu mkubwa’

WAVUVI wapatao 197,763 wamepata ajira za moja kwa moja katika uvuvi hali inayoonesha kuwa sekta hiyo imekuwa na mafanikio makubwa…

Soma Zaidi »

Mambo mazuri yanukia uchimbaji madini ya Kinywe

WAZIRI wa Madini Dk Dotto Biteko, amewataka wananchi wa Kijiji cha Namangale katika Halmashauri ya Mji wa Mtama, mkoani Lindi…

Soma Zaidi »

Chongolo ataka majina wasiolipwa fidia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kondoa kumpa orodha ya wananchi ambao…

Soma Zaidi »

Chongolo atoa ahadi Bwawa la Maji Kondoa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Daniel Chongolo amewaahidi wananchi wa Kata ya Itaswi iliyopo Halmashauri ya Kondoa Vijijini kuwabana…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Sudan wahamishiwa Muhimbili

WANAFUNZI 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan, wamehamishiwa Hospitali ya…

Soma Zaidi »

Ajali ya basi, lori yaua Morogoro

MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba  kujeruhiwa, baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Musoma kuelekea Dar es Salaam…

Soma Zaidi »
Back to top button