Jamii

Ajali ya basi, lori yaua Morogoro

MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba  kujeruhiwa, baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Musoma kuelekea Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

RC Shinyanga azima ndoa ya mwanafunzi

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme, amefanikiwa kuzima ndoa ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 19, aliyechaguliwa kujiunga na…

Soma Zaidi »

Wabungea EALA waonya kauli za wanasiasa

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika (EALA) kutoka Tanzania, wamewataka  wanasiasa na wananchi kutokutumia kauli zinazotishia umoja wa kitaifa…

Soma Zaidi »

Tamwa yatoa kongole kwa Rais Samia haki za watoto

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewapongeza Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…

Soma Zaidi »

Ataka waraibu kusaidiwa wasirejee ‘kujidunga’

WADAU wa maendeleo, sekta binafsi na watu binafsi wameombwa kuunganisha nguvu kuwasaidia waraibu wa dawa za kulevya ambao wameanza kutumia…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Iringa wataka lishe bora na kusikilizwa

WANAFUNZI wa shule za msingi za kata ya Nzihi wilayani Iringa wameitaka serikali na wadau wao wote wa maendeleo kuwasikilizwa…

Soma Zaidi »

Watendaji wa vijiji chanzo cha mapigano wakulima, wafugaji

WAFUGAJI wa halmashauri za wilaya za Chalinze na Bagamoyo, mkoani Pwani, wamewatuhumu baadhi ya viongozi wa vijiji kuwa sehemu ya…

Soma Zaidi »

Ajira kwa vijana kizungumkuti

SERIKALI imesema licha ya hatua kubwa ilizochukua za kujenga uchumi,  tatizo la ajira kwa vijana  bado ni kubwa. Waziri wa…

Soma Zaidi »

Kiwango cha umaskini chapungua

WAZIRI  wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba  amesema Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia 9.7 kwa mwaka…

Soma Zaidi »

Marufuku kuuza chakula nje

RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga marufu wakulima kuuza mazao nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa…

Soma Zaidi »
Back to top button