Jamii

Wanusurika kifo baada ya gari kuteketea kwa moto

WATU watatu wakiwemo wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Bethel Company Limited ya jijini Mwanza wamenusurika kifo baada ya gari waliyokuwa…

Soma Zaidi »

1 afariki, 30 wajeruhiwa Yanga v USM

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya awali kuhusu majeruhi Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, ambapo amesema…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tutaenzi mchango wa Wakili Mkono

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa uliotolewa na aliyewahi kuwa Mbunge wa Butiama mkoani Mara,…

Soma Zaidi »

TLS: Aliyewazuia polisi mahakamani si wakili

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimesema Baraka Mkama aliyejitambulisha kama wakili na kuonekana akiwazuia polisi wasiwatie nguvuni wateja wake baada…

Soma Zaidi »

Meli yapeleka dawa za mikorosho Mtwara

MELI ya Sea Ruby imetia nanga katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kushusha salpha kwa ajili ya kupulizia mikorosho…

Soma Zaidi »

‘Utunzaji mazingira liwe jambo la wote’

KUELEKEA siku ya mazingira duniani Shirika lisilo la Kiserikali la ‘Mazingira ni Uhai’ (ENLIFE) limepanda nyasi 1200,  eneo la Kibwegere…

Soma Zaidi »

Raia wa Marekani jela miaka 20 kwa ‘unga’

MAHAKAMA  Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu  Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela…

Soma Zaidi »

‘Zingatieni kiapo cha uaminifu kutunza siri’

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) na makatibu mahsusi (TAPSEA) kuzingatia kiapo cha uaminifu katika kutunza…

Soma Zaidi »

Mama aliwa na mamba Mto Lukuledi

SOMOE Saidi (65) mkazi wa Kijiji cha Nachiu, Kata ya Nyengedi Halmashauri ya Mtama, mkoani Lindi amefariki dunia kwa kuliwa…

Soma Zaidi »

Buriani Tina Turner

ULIMWENGU mzima wa muziki unaomboleza kifo cha gwiji wa muziki, Tina Turner, ambaye alivuma kwa vizazi hadi vizazi. Tukio hili…

Soma Zaidi »
Back to top button