Jamii

Radi yaua 2 familia moja

WATU wawili wa familia moja wamefariki Dunia baada ya kupigwa na radi katika Kata ya Msimbati, mkoani Mtwara. Akizungumza leo…

Soma Zaidi »

Wakulima Hanang wafundishwa matumizi  zana za kisasa

WAKULIMA wilayani Hanang wamepewa mafunzo yanayolenga kuhimiza matumizi ya zana za kisasa za kilimo na utunzaji wa kumbukumbu za matumizi…

Soma Zaidi »

‘Kuna mabadiliko wanafunzi wa sayansi’

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki amesema kuwa serikali imeanza kutekeleza mpango wa kuongeza idadi ya wanafunzi…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji kunufaisha 10,448  Geita

SERIKALI imetumia jumla ya Sh 293,050,508.58 kutoka Mfuko wa Mapambano dhidi ya Uviko-19 (TCRF), ili kumaliza kero ya maji kwa…

Soma Zaidi »

Upanuzi Uwanja Ndege Mpanda waanza

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), imeanza uboreshaji na upanuzi wa jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege Mpanda, uliopo…

Soma Zaidi »

‘Marufuku kutoa fedha upate dhamana polisi’

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku utaratibu wa watuhumiwa kutozwa pesa pindi wanapohitaji dhamana, kwani hiyo…

Soma Zaidi »

Mvua zaanza, TMA yatoa hadhari

MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imehadharisha uwezekano wa mvua kubwa kujaza maji kwenye makazi ya watu katika mikoa minne…

Soma Zaidi »

Mwalimu kortini vitisho kwa mabosi wake

MWALIMU wa Shule ya Sekondari Hanihani katika kata ya Igunga mjini, Paul Msabila amepandishwa kizimbani akidaiwa kutishia kwa njia ya…

Soma Zaidi »

Samia apongezwa kasi ukuaji uchumi

WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongoza vizuri nchi kukiwa na changamoto likiwamo janga la…

Soma Zaidi »

Vijana watakiwa kuchangamkia mikopo kujiajiri

VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo bila riba inayotolewa katika Halmashauri zote nchini, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na ukosefu…

Soma Zaidi »
Back to top button