Jamii

Samia: Tuangalie tulipojikwaa mmomonyoko wa maadili

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi kuangalia sehemu waliyokosea kwenye suala la malezi ya watoto na kulifanyia kazi…

Soma Zaidi »

TPSF yasisitiza matumizi ya teknolojia, ubunifu kumkomboa mwanamke

WAKATI dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake, Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imesisitiza kuwa teknolojia kuwa ni nyezo muhimu katika…

Soma Zaidi »

Waomba ufumbuzi kero ya mipaka, wanyamapori Manyara

WANANCHI wa Vijiji 12 vya Halmashauri ya Babati vijijini vilivyo jirani na Hifadhi za Taifa ya Manyara na Tarangire wamemuomba…

Soma Zaidi »

Ajali ya basi yaua 9 Katavi, 30 wajeruhiwa

WATU tisa akiwemo mjamzito wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka na kutumbukia bondeni katika…

Soma Zaidi »

Adaiwa kufia kwa Mchungaji akiombewa

BINTI aitwaye Consolata Pius (16) anadaiwa kufariki dunia, wakati akiwa nyumbani kwa mchungaji akifanyiwa maombi. Akizungumzia tukio hilo baba mzazi…

Soma Zaidi »

Mwili mtoto wa miezi 5 waokotwa jalalani

MWILI wa mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa na umri wa miezi mitano umekutwa umetupwa jalalani katika mtaa wa Shilabela Kata ya…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha watoto kukaa bweni

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewaagiza wamiliki wote wa shule za msingi kusitisha huduma za bweni kwa wanafunzi kuanzia…

Soma Zaidi »

Bodaboda wazidi kumkalia kooni Lema

CHAMA cha  Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Tanzania (CHAMOPITA), Mkoa wa Tanga, kimemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Kaskazini Godbless…

Soma Zaidi »

Jela maisha kwa kumnajisi mtoto wake

MAHAKAMA ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma, imemhukumu Mohamed Ngwelekwe (25) mkazi wa kijiji cha Namiungo, wilayani humo, kutumikia kifungo cha…

Soma Zaidi »

Mbaroni kwa kutupa mtoto wa siku tatu

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limemkamata Priska Lameck (28) akituhumiwa kumtupa mtoto wa umri wa siku tatu. Mtoto huyo aliokotwa…

Soma Zaidi »
Back to top button