Jamii

Chongolo: Msiuze chakula kikiwa shambani

WANANCHI wilayani Kiteto mkoani Manyara, wameaswa kuacha kuuza mazao yakiwa shambani kwa bei ndogo na kisha baadaye kuja kuyanunua kwa…

Soma Zaidi »

Benki yazindua akaunti maalum kuwainua wanawake wajasiriamali

KATIKA jitihada za kumkomboa mwanamke kiuchumi, Benki za Akiba (ACB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wanawake wajasiriamali. Akizungumza katika…

Soma Zaidi »

TUMERAHISISHA: Huduma ya mikopo kwa wanawake kidijitali yazinduliwa

Benki ya Equity imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kuzindua kampeni iliyojikita  kutoa suluhu kidigitali katika huduma zake kwa…

Soma Zaidi »

Waipongeza serikali ujenzi wa majosho

WANANCHI wa Kata ya Chapakazi wilayani Kiteto,mkoani Manyara, wameelezea faida wanazopata baada ya kujengwa kwa majosho katika maeneo yao,yaliyopunguza maradhi…

Soma Zaidi »

Wilaya ya Tanganyika wafungua njia chuo cha VETA

HALMASHAURI ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, imetoa ekari 20 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi…

Soma Zaidi »

Wanaoishi mipakani watakiwa kutumia fursa

CHAMA Cha mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma kimewataka wananchi wanaoishi maeneo ya mpakani, ambako kumejengwa masoko kwa ajili ya biashara ya…

Soma Zaidi »

Wakulima wafurahia bei ya nyanya kupaa

BEI ya nyanya mashambani katika maeneo mbalimbali mkoani Iringa, imepaa kutoka Sh 5,000 kwa tenga la kilo 40 Agosti mwaka…

Soma Zaidi »

Waliokufa ajali ya basi Katavi watajwa

MGANGA Mkuu Wilaya ya Tanganyika, Dk Alex Mrema ametaja majina ya watu saba kati ya tisa waliokufa katika ajali ya…

Soma Zaidi »

Samia azuia vibali 125 kulinda Bonde la Rufiji

BODI ya Maji ya Bonde la Mto Rufiji (RBWB) imezuia vibali 125 vya shughuli katika Bonde la Rufiji kufuatia agizo…

Soma Zaidi »

Wazazi watakiwa kuacha kuwaonesha watoto katuni

WAZAZI na walezi wametakiwa kuacha tabia ya kuwaachia watoto kuangalia katuni zisizo na maadili badala waongee nao ili kubaini changamoto…

Soma Zaidi »
Back to top button