Jamii

Mhasibu atekwa, achomwa moto kwa petroli

JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la Kahama ameuawa kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa…

Soma Zaidi »

Mume aua mke na kumzika chumbani

MKAZI wa Manispaa ya Tabora anadaiwa kumuua mkewe na kumzika kwenye shimo katika chumba wanacholala na kusakafia eneo hilo kwa…

Soma Zaidi »

TARURA wazungumzia mikakati Barabara Singida

MENEJA WA Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Tembo David, amesema mpaka sasa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi sekondari kufundishwa ujasiriamali

ZAIDI ya wanafunzi 1000 kutoka shule za sekondari Mkoa wa Mwanza, wanatarajia kunufaika na elimu ya ujasiriamali kutoka Chuo Cha…

Soma Zaidi »

KAGIS sasa yageukia wenye ulemavu michezoni

MRADI wa Kuwezesha Wasichana Balehe Kuendelea na Masomo (KAGIS), unaotekelezwa katika mikoa ya Geita na Kigoma sasa umeamua kugeukia kundi…

Soma Zaidi »

RPC Kigoma awafunda madereva

POLISI mkoani Kigoma ikiongozwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Filemon Makungu wamevamia Kituo Kikuu cha mabasi mkoani Kigoma…

Soma Zaidi »

Waweka nguvu mafunzo kilimo cha bustani

KAMPUNI kubwa za kimataifa za kilimo cha bustani hupata matatizo kupata wafanyakazi waliofunzwa vyema katika sekta hiyo hapa nchini, hali…

Soma Zaidi »

Serikali yapongezwa kuamua tanzanite iuzwe Mirerani

MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Madini ya Tanzanite, Yusuph Money amesema serikali haikufanya makosa kuamua madini hayo ambayo hayajasanifiwa…

Soma Zaidi »

RC: Wanawake tumieni ‘kicheni pati’ kukuza uchumi

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka wanawake watumie ‘kicheni pati’ kupeana elimu ya kukuza na kulinda uchumi wa…

Soma Zaidi »

Kihenzile: changamkieni fursa

WANAWAKE wa Tanzania Red Cross Society (TRCS) wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua vipato vyao ikiwa ni pamoja na…

Soma Zaidi »
Back to top button