Jamii

Tanga Uwasa yatoa msaada hospitali Pangani

KATIKA kuhitimisha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, watumishi wanawake wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga…

Soma Zaidi »

Mavazi yatakayokufanya uonekane nadhifu ofisini

MAVAZI ni sehemu ya urembo na huvaliwa kulingana na matukio, hafla au shughuli husika. Vilevile mavazi hupendeza zaidi iwapo mvaaji…

Soma Zaidi »

Wachimbaji 8 wafa kwa kufukiwa na kifusi Geita

WATU nane ambao ni wachimbaji wadogo wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi katika kijiji cha Igando, Kata ya Magenge wilayani…

Soma Zaidi »

Newala wahamasisha kilimo cha mpunga

HALMASHAURI ya  Mji wa Newala,  Wilaya ya Newala mkoani Mtwara imeamua kuhamasisha kilimo cha mazao mbadala ikiwemo mpunga. Akizungumza leo…

Soma Zaidi »

TLS kuwasilisha mapendekezo Tume Haki Jinai

CHAMA cha Wanasheria nchini (TLS), kimesema kitawasilisha mapendekezo yake kwa Tume ya Haki Jinai, ili kufanya mabadiliko katika taasisi za…

Soma Zaidi »

Wahamiaji haramu mbaroni wakijifanya wachezaji Coastal

JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga, limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu wanne raia wa Cameroon, ambao wamedai wapo nchini  kwa ajili…

Soma Zaidi »

Raia wa Ureno ahukumiwa kwa kuishi nchini kinyemela

RAIA wa Ureno, George Ferreira amehukumiwa kulipa faini ya Sh 500,000 au kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ya kutiwa…

Soma Zaidi »

Makarani wa mahakama wakumbushwa kutunza siri

MAKARANI wa Mahakama ya Tanzania wametakiwa kutunza tena kwa siri nyaraka za mashauri yanayowahusu watoto ili kuhakikisha wanamlinda na kumpatia…

Soma Zaidi »

Dk Lwaitama azidi kufunguka kesi ya Mdee, wenzake

MJUMBE wa Bodi ya wadhamini ya Chadema, Profesa Azaveri Lwaitama amesema chama hiko hakikuwa na nafasi ya kuwapa muda zaidi…

Soma Zaidi »

IJP, wenzake waomba zuio uchunguzi kifo cha utata

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeshindwa kuanza utekelezaji wa amri iliyotoa Februari 17, mwaka huu ya kufanyika…

Soma Zaidi »
Back to top button