Jamii

Sh bilioni 117 zatengwa miradi Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika

SERIKALI  imetenga Sh bilioni 117, mwaka wa fedha 2023/2024  kwa ajili ya miradi mingi ya ziwa Tanganyika,Victoria na Nyasa,huku fedha…

Soma Zaidi »

Wenyeviti vijiji waliouza ardhi kiholela matatani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma kimetoa maelekezo kwa ofisi ya Mkuu wa Wilaya Uvinza na Mkurugenzi Mtendaji wa…

Soma Zaidi »

Lokassa Ya M’Bongo afariki dunia

MKONGWE wa kupiga gitaa la rhythm kutoka nchini DR Congo, Lokassa Kasia Dennis maarufu Ya M’Bongo  au Ya Mbongo amefariki…

Soma Zaidi »

Bodaboda kusaidia vita ukatili wa kijinsia

VIJANA waendesha pikipiki za abiria (bodaboda) wilayani Geita wamesisitizwa kuwa mawakala wa haki na usawa wa kijinsia kwa kushiriki ulinzi…

Soma Zaidi »

Raia 2643 DRC waomba hifadhi Kigoma

RAIA 2643 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), wameingia mkoani Kigoma katika makundi makubwa wakiomba hifadhi ya ukimbizi wakieleza…

Soma Zaidi »

22 mbaroni wakidaiwa kuvamia mgodi tanzanite

MENEJA wa Mgodi wa Gem & Rock Venture, Joel Mollel Maarufu kwa jina la Saitoti ametiwa mbaroni na wenzake 21…

Soma Zaidi »

Wafugaji waonywa matibabu holela

MENEJA wa Kiwanda cha chanjo Tanzania kilichopo chini ya Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Charles Mayenga ameonya tabia…

Soma Zaidi »

Kijana aliyemuua Meneja Tanapa kunyongwa

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Arusha imeamuru Ismail Sang’wa (28) anyongwe hadi kufa baada ya kumkuta na hatia ya kumuua kwa…

Soma Zaidi »

Ujenzi chuji la maji Mtwara Mikindani wakamilika

UJENZI wa chujio la Maji Manispaa ya Mtwara Mikindani, mkoani Mtwara umekamilika kwa asilimia 100 na sasa wananchi wanakunywa maji…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu: Vijana msiogope kukopa mitaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari…

Soma Zaidi »
Back to top button