Jamii

Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu darasani

MWALIMU wa Shule ya msingi Igaka, Kata ya Isulabutundwe, Tarafa ya Kasamwa wilayani Geita Emmanuel Chacha (35) amefariki dunia baada…

Soma Zaidi »

Kaburi la mtoto lafukuliwa, mwili, jeneza vyaibwa

WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa…

Soma Zaidi »

Leo kumbukizi miaka miwili kifo cha JPM

LEO ni kumbukizi ya miaka miwili tangu afariki dunia Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Dk…

Soma Zaidi »

Mchango wa Dk Magufuli kukuza Kiswahili utaendelea kuenziwa

WINGU la huzuni lilitanda anga la nchi ya Tanzania wakati Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (wakati huo) alipoutangazia umma…

Soma Zaidi »

Endelea kupumzika JPM, Kazi Inaendelea

NI miaka miwili sasa imetimia tangu aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli afariki dunia kutokana…

Soma Zaidi »

Miss Tanga kufanyika Mei 6

SHINDANO la kumsaka Miss Tanga 2023 linatarajia kufanyika Mei 6, mwaka huu mkoani Tanga. Akizungumza leo Machi 16, 2023 Dar…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji kunufaisha 42,000 Mtwara

KATIKA kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama Mtwara Mjini unaimarika, serikali imeanzisha mradi wa ujenzi wa tanki la maji…

Soma Zaidi »

‘Lipeni mirabaha mnaotumia kazi za sanaa’

NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameagiza makampuni na maeneo yanayotumia kazi za Sanaa na ubunifu kujinufaisha…

Soma Zaidi »

Msusi ashinda zawadi ya gari

MAMA wa watoto watatu Easther Norbert anayejishughulisha na kazi ya ususi ameibuka mshindi wa shindano liitwalo Bob Kubwa. Akizungumza na…

Soma Zaidi »

Wizara  yaahidi ufumbuzi ujenzi Stendi Arusha

NAIBU Waziri wa Ardhi, Geofrey Pinda amesema  ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa, wizara itamaliza vikwazo  vinavyochelewesha ujenzi wa stendi…

Soma Zaidi »
Back to top button