Jamii

Mawaziri watano wajibu hoja ziara ya Chongolo

MAWAZIRI watano wamejibu hoja za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alizozitoa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo akiwa katika ziara…

Soma Zaidi »

Waliokufa ajalini Tanga wafika 20

IDADI ya watu waliokufa katika ajali iliyotokea wilayani Korogwe mkoani Tanga imeongezeka kutoka 17 hadi 20. Mkuu wa Mkoa wa Tanga,…

Soma Zaidi »

TAKUKURU wambeba aliyekana sahihi yake, madeni CHAMWAI

MWENYEKITI wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Walimu Iramba (CHAMWAI), Ali Mwekwa, amekana kutia saini nyaraka tofauti…

Soma Zaidi »

Kiama cha wabakaji, walawiti chaja

SERIKALI kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ipo mbioni kufanya mabadiliko ya sheria kwa  kuondoa dhamana…

Soma Zaidi »

Feleshi: Atakaekwamisha jitihada za serikali kukiona

MWANASHERIA Mkuu wa serikali, Dk Eliezer Feleshi amewataka majaji na mahakimu kuwaripoti wakili au mtendaji yoyote ambaye atakwamisha juhudi za…

Soma Zaidi »

Mambo yaiva bweni la wasichana Shule ya Kabungu

Shule ya Sekondari Kabungu iliyopo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi yenye kidato cha kwanza hadi sita iko mbioni kukamilisha  ujenzi…

Soma Zaidi »

‘Kuna manung’uniko mengi mifumo ya haki jinai’

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango, amesema wananchi wa Tanzania  wana manung’uniko mengi ambayo yanaonesha mifumo ya haki jinai ina…

Soma Zaidi »

Chongolo ashauri wananchi kufunga mita za maji

WANANCHI wa Kijiji cha Msolwa B wilayani Kilombero, wameshauriwa kufunga mita za maji katika nyumba zao, ili kulipa maji kadri…

Soma Zaidi »

Mkopo wa nanasi mbili ulivyomuwezesha kumiliki nyumba 2

MICHAEL Elias (44) mkazi wa Mtaa wa Munangi, Kata ya Kindai katika Manispaa ya ameshauri vijana kutobagua kazi licha ya…

Soma Zaidi »

Wakulima walalamikia upimaji utamu wa miwa Kilombero

WAKULIMA wa miwa wilayani Kilombero mkoani Morogoro, wamelalamikia kukosa imani na Kiwanda cha Sukari Kilombero kwa jinsi wanavyopima kiwango cha…

Soma Zaidi »
Back to top button